Mshahara CPA holder!

mbweta

JF-Expert Member
Dec 10, 2010
600
81
Jaman naombeni mnijuze mshahara wa Mtu mwenye Certified public accountant (CPA )Unatakiwa uanzie ngap akiwa na experience au hana? Pia kwa waliorecord inakuwaje nao.
 
kazi zenyewe ziko wapi unaulizia mshahara,
Tanzania ya leo soma hata diploma ya accountancy tu,uunganishiwe kazi kimagumashi TPA,PPF,NSSF,PSPF na agency kibao za serikali zinazolipa vizuri na kutoa ajira mpaka field kwa kujuana, uone utakavyokula maisha kuliko cpa holder aliyepangiwa kazi Tandahimba.
 
Jaman naombeni mnijuze mshahara wa Mtu mwenye Certified public accountant (CPA )Unatakiwa uanzie ngap akiwa na experience au hana? Pia kwa waliorecord inakuwaje nao.
1.8 m taasisi nyingi za serikal
 
Back
Top Bottom