Msemaji wa Yanga SC Haji Manara kwa Uongo wako huu mkubwa Umejiaibisha na Umewadharaulisha wana Yanga SC wote duniani

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Jana kama kawaida yako ya kupenda Kujimwambafai na kujifanya unajua Mambo wakati Kiuhalisia huna ukijuacho kwa Kujiamini Kwako Kipuuzi ulisema (na nasikitika waliokuwepo Ukiwadanganya) walikuamini uliposema kuwa Msimu ujao Simba SC ndiyo itaanza Kucheza hatua za mwanzo Mechi za Klabu Bingwa Afrika na Yanga SC itashiriki hatua za mbele kwakuwa ndiyo watakuwa Mabingwa wa NBC Premier League 2021 / 2022.

Haji Manara kwa hili la Yanga SC kuwa Bingwa wa Ligi Kuu hata Mimi MINOCYCLINE nisiwe Mnafiki na sikubishii kuwa nyie Yanga SC mna 90% za kuwa Mabingwa na msipolichukua nitawashangaa hadi naingia Kaburini kwani mna kila dalili za kuwa Mabingwa wapya.

Haji Manara leo Concern yangu Kuu Kwako ni kutaka Kukupinga na Uongo wako ulioutoa Jana mbele ya Waandishi wa Habari katika Press yako na nasikitika kwa Umbumbumbu Wao na Wao wakakuamini pamoja na wana Yanga SC wote.

Sasa Haji Manara leo MINOCYCLINE nakupa Ufafanuzi juu ya hilo na pia nakufundisha Kufikiri ili Siku zingine usiwe Juha ( Zuzu ) kama ambavyo ulivyo sasa japo Mwenyewe unajiona ni Bonge la Mjanja wakati kumbe ni Mshamba Mwandamizi uliyeko Jangwani (Yanga SC).

Ipo hivi kwakuwa Klabu ya Simba imefikisha Alama (Points) 30.5 kutokana na kufanya Kwake vyema katika Michuano ya Klabu Bingwa na hii ya sasa ya Shirikisho ni kwamba Msimu ujao Simba SC na Timu zingine 20 zilizojipendekeza Alama na zilifanya vyema hazitaanza hatua za Awali ( Preliminary ) Kucheza Mechi za Klabu Bingwa Afrika ( CAFCL ) ila zenyewe zitacheza baadae.

Haji Manara kwakuwa Klabu yako ya Yanga hajjafanya vyema Kimataifa (na hilo unalijua) na mpaka sasa Yanga SC ina Alama (Points) 1.5 tu hata kama Mtakuwa Mabingwa wa Ligi Kuu ya NBC kwa Msimu huu ila katika Michuano ya Kimataifa kutokana na Performance yenu Duni na Mbaya nanyi pia mtaanzia hatua za Awali (Preliminary) na Wenzenu mnaofanana.

Haji Manara nilidhani kwa Kutamba Kwako kote na Kujiita wa Kimataifa basi Jambo dogo tu kama hili ungekuwa Unalijua badala yake Jana Umekurupuka kutafuta Sifa kama Kawaida yako na Kujiaibisha huku wenye Akili Kubwa (wana Simba SC) tukaendelea tu Kukuchora na Kukudharau zaidi.

Haya Haji Manara nakuomba baada ya Jana Kuwadanganya Waandishi wa Habari Wapuuzi na ambao huwa Wanakuamini na Kujipendekeza Kwako Wakiongozwa na Mtangazaji mwana Yanga SC hadi Anakera halafu Mnafiki Abisai Steven Junior wa East Africa Radio Kipyenga Extra na Wana Yanga SC wote kuwa Yanga SC haitoanza hatua za Awali bali Simba SC ndiyo itaanza huko tafadhali itisha haraka Press Conference leo na Uwaombe Radhi kwani Umewaaibisha na Kuwadharaulisha sana kwa hili.

Unasumbuliwa na Ushamba na Ujuha!!!
 
Jana kama kawaida yako ya kupenda Kujimwambafai na kujifanya unajua Mambo wakati Kiuhalisia huna ukijuacho kwa Kujiamini Kwako Kipuuzi ulisema ( na nasikitika waliokuwepo Ukiwadanganya ) walikuamini uliposema kuwa Msimu ujao Simba SC ndiyo itaanza Kucheza hatua za mwanzo Mechi za Klabu Bingwa Afrika na Yanga SC itashiriki hatua za mbele kwakuwa ndiyo watakuwa Mabingwa wa NBC Premier League 2021 / 2022.

Haji Manara kwa hill la Yanga SC kuwa Bingwa wa Ligi Kuu hata Mimi MINOCYCLINE nisiwe Mnafiki na sikubishii kuwa nyie Yanga SC mna 90% za kuwa Mabingwa na msipolichukua nitawashangaa hadi naingia Kaburini kwani mna kila dalili za kuwa Mabingwa wapya.

Haji Manara leo Concern yangu Kuu Kwako ni kutaka Kukupinga na Uwongo wako ulioutoa Jana mbele ya Waandishi wa Habari katika Press yako na nasikitika kwa Umbumbumbu Wao na Wao wakakuamini pamoja na wana Yanga SC wote.

Sasa Haji Manara leo MINOCYCLINE nakupa Ufafanuzi juu ya hilo na pia nakufundisha Kufikiri ili Siku zingine usiwe Juha ( Zuzu ) kama ambavyo ulivyo sasa japo Mwenyewe unajiona ni Bonge la Mjanja wakati kumbe ni Mshamba Mwandamizi uliyeko Jangwani ( Yanga SC )

Ipo hivi kwakuwa Klabu ya Simba imefikisha Alama ( Points ) 30.5 kutokana na kufanya Kwake vyema katika Michuano ya Klabu Bingwa na hii ya sasa ya Shirikisho ni kwamba Msimu ujao Simba SC na Timu zingine 20 zilizojipendekeza Alama na zilifanya vyema hazitaanza hatua za Awali ( Preliminary ) Kucheza Mechi za Klabu Bingwa Afrika ( CAFCL ) ila zenyewe zitacheza baadae.

Haji Manara kwakuwa Klabu yako ya Yanga hajjafanya vyema Kimataifa ( na hilo unalijua ) na mpaka sasa Yanga SC ina Alama ( Points ) 1.5 tu hata kama Mtakuwa Mabingwa wa Ligi Kuu ya NBC kwa Msimu huu ila katika Michuano ya Kimataifa kutokana na Performance yenu Duni na Mbaya nanyi pia mtaanzia hatua za Awali ( Preliminary ) na Wenzenu mnaofanana.

Haji Manara nilidhani kwa Kutamba Kwako kote na Kujiita wa Kimataifa basi Jambo dogo tu kama hili ungekuwa Unalijua badala yake Jana Umekurupuka kutafuta Sifa kama Kawaida yako na Kujiaibisha huku wenye Akili Kubwa ( wana Simba SC ) tukaendelea tu Kukuchora na Kukudharau zaidi.

Haya Haji Manara nakuomba baada ya Jana Kuwadanganya Waandishi wa Habari Wapuuzi na ambao huwa Wanakuamini na Kujipendekeza Kwako Wakiongozwa na Mtangazaji mwana Yanga SC hadi Anakera halafu Mnafiki Abisai Steven Junior wa East Africa Radio Kipyenga Extra na Wana Yanga SC wote kuwa Yanga SC haitoanza hatua za Awali bali Simba SC ndiyo itaanza huko tafadhali itisha haraka Press Conference leo na Uwaombe Radhi kwani Umewaaibisha na Kuwadharaulisha sana kwa hili.

Unasumbuliwa na Ushamba na Ujuha!!!

Nani kakudanganya kuwa Manara ni msemaji wa Yanga?
 
Simba pia inaweza kuanzia raundi ya awali, lakini si kwa sababu ya kutokuwa bingwa ila kwa sababu za kuwa na point chache kulinganisha na walio juu yake. Lakini Yanga ni dhahiri hawezi kuanza raundi ya pili, point zake ni chache sana na si mwaka huu, hata miaka mitatu ijayo atahitaji azijengejenge. Sijajua kwa nini Manara aliongea vile, ni kwa kutojua au kwa kuwachukulia poa Wanayanga!
 
Jana kama kawaida yako ya kupenda Kujimwambafai na kujifanya unajua Mambo wakati Kiuhalisia huna ukijuacho kwa Kujiamini Kwako Kipuuzi ulisema ( na nasikitika waliokuwepo Ukiwadanganya ) walikuamini uliposema kuwa Msimu ujao Simba SC ndiyo itaanza Kucheza hatua za mwanzo Mechi za Klabu Bingwa Afrika na Yanga SC itashiriki hatua za mbele kwakuwa ndiyo watakuwa Mabingwa wa NBC Premier League 2021 / 2022.

Haji Manara kwa hill la Yanga SC kuwa Bingwa wa Ligi Kuu hata Mimi MINOCYCLINE nisiwe Mnafiki na sikubishii kuwa nyie Yanga SC mna 90% za kuwa Mabingwa na msipolichukua nitawashangaa hadi naingia Kaburini kwani mna kila dalili za kuwa Mabingwa wapya.

Haji Manara leo Concern yangu Kuu Kwako ni kutaka Kukupinga na Uwongo wako ulioutoa Jana mbele ya Waandishi wa Habari katika Press yako na nasikitika kwa Umbumbumbu Wao na Wao wakakuamini pamoja na wana Yanga SC wote.

Sasa Haji Manara leo MINOCYCLINE nakupa Ufafanuzi juu ya hilo na pia nakufundisha Kufikiri ili Siku zingine usiwe Juha ( Zuzu ) kama ambavyo ulivyo sasa japo Mwenyewe unajiona ni Bonge la Mjanja wakati kumbe ni Mshamba Mwandamizi uliyeko Jangwani (Yanga SC).

Ipo hivi kwakuwa Klabu ya Simba imefikisha Alama (Points) 30.5 kutokana na kufanya Kwake vyema katika Michuano ya Klabu Bingwa na hii ya sasa ya Shirikisho ni kwamba Msimu ujao Simba SC na Timu zingine 20 zilizojipendekeza Alama na zilifanya vyema hazitaanza hatua za Awali ( Preliminary ) Kucheza Mechi za Klabu Bingwa Afrika ( CAFCL ) ila zenyewe zitacheza baadae.

Haji Manara kwakuwa Klabu yako ya Yanga hajjafanya vyema Kimataifa (na hilo unalijua) na mpaka sasa Yanga SC ina Alama (Points) 1.5 tu hata kama Mtakuwa Mabingwa wa Ligi Kuu ya NBC kwa Msimu huu ila katika Michuano ya Kimataifa kutokana na Performance yenu Duni na Mbaya nanyi pia mtaanzia hatua za Awali (Preliminary) na Wenzenu mnaofanana.

Haji Manara nilidhani kwa Kutamba Kwako kote na Kujiita wa Kimataifa basi Jambo dogo tu kama hili ungekuwa Unalijua badala yake Jana Umekurupuka kutafuta Sifa kama Kawaida yako na Kujiaibisha huku wenye Akili Kubwa (wana Simba SC) tukaendelea tu Kukuchora na Kukudharau zaidi.

Haya Haji Manara nakuomba baada ya Jana Kuwadanganya Waandishi wa Habari Wapuuzi na ambao huwa Wanakuamini na Kujipendekeza Kwako Wakiongozwa na Mtangazaji mwana Yanga SC hadi Anakera halafu Mnafiki Abisai Steven Junior wa East Africa Radio Kipyenga Extra na Wana Yanga SC wote kuwa Yanga SC haitoanza hatua za Awali bali Simba SC ndiyo itaanza huko tafadhali itisha haraka Press Conference leo na Uwaombe Radhi kwani Umewaaibisha na Kuwadharaulisha sana kwa hili.

Unasumbuliwa na Ushamba na Ujuha!!!
Na watatolewa kabla hata Mnyama hajaanza kucheza kama Rivers walivyowafanyia.
 
Simba pia inaweza kuanzia raundi ya awali, lakini si kwa sababu ya kutokuwa bingwa ila kwa sababu za kuwa na point chache kulinganisha na walio juu yake. Lakini Yanga ni dhahiri hawezi kuanza raundi ya pili, point zake ni chache sana na si mwaka huu, hata miaka mitatu ijayo atahitaji azijengejenge. Sijajua kwa nini Manara aliongea vile, ni kwa kutojua au kwa kuwachukulia poa Wanayanga!
kaongea vile kwasababu ajijui kama ajui.
 
yaani wewe utatumia majina yote sijui tetesaklin, gentamycin, clolokwin, ampiclox, panadol ila utabaki kua POPOMA MWANDAMIZI.
 
Manara anaongeaga upupu ili kuwashushua nyie Makolo.. kama Yanga ndo wamedanganywa mbona kuteseka mnateseka nyie Makolo na Kila Kona mnaongea..
Mashabiki wa Yanga tunamwelewa Manara na tunajua anaongea kwa sababu gani. Na Wala hakuna Shabiki wa Yanga anayechukulia serious kauli kama zile Ila Makolo ndo wanateseka.. yaan wakiambiwa wanaanza round Fulani basi wanatamani kumchoma kisu Manara😃
 
Lengo la Manara kuwa topic limefanikiwa, akili zikiwarudia Soweto 5 bila, mkirudi Dar derby inawasubili Mayele anatetema ndio mtaanza kuyasikia maumivu ya gap ya point 16 na hakuna viporo.
 
kwani topic ndizo zinacheza uwanjani? Mbona mliwaambia wapitie mlango wa chooni na bado haikusaidia?
 
Wenye akili alishasema ni wawili tu katiks hilo kundi ivo anajuw watafurahia tu
 
kwani topic ndizo zinacheza uwanjani? Mbona mliwaambia wapitie mlango wa chooni na bado haikusaidia?
Ndiyo ilikuwa salama yao, unadhani Simba wana furaha kupata goli moja wakati wanajuwa dhahiri ni nini kinakwenda kutokea Soweto?
 
Simshangai Manara, nawashangaa wale waandishi wa habari waliokuwepo; yawezekana kichwani mwao wako duni sana
Infact ni kwamba hawako duni, ila isipo kuwa walimpa nafasi ya kuongea ambayo ni hakinyake kimsingi ...

Lakini pia kuoitia wale wale wana habari ameuotoa ujinga wake ..,
 
kwani topic ndizo zinacheza uwanjani? Mbona mliwaambia wapitie mlango wa chooni na bado haikusaidia?
Hivi huwa mnapata wapi muda wa Kulijibu hilo Pumbavu Liandamizi hapa JamiiForums nzima? Hamtuoni wenye Akili tumelinyamazia, tunalidharau na Kulipuuza?

Cc: Matola
 
Back
Top Bottom