Msema kweli ni mpenzi wa Mungu

Feb 7, 2012
89
24
Hospitalini dawa hakuna,

AJIRA zimesitishwa , vijana wamejaaa mtaani hawana matumaini,

watumishi wanasononeka hawajapandishwa madaraja,hawajalipwa madai Yao,

call allowance,extral duties kwa watumishi hakuna.,kwa waganga na manesi wetu.

Wanavyuo wanalia MIKOPO hakuna .

nchi inaenda kama gari bovu .

EEEE MUNGU TUNAKUOMBA UTUHURUMIE

IKIWEZEKANA KIKOMBE HIKI TUKIEPUKE.
 
Tuwe makini na huu usemi maana ipo siku Mungu atawaumbua wote wanaofichama na kufanya yao nyuma ya huo usemi
 
Acha movie iendeleeeeee tz Ni zaid ya haya tulia kuwa mvumilivu kwa serikali yako ulochagua mwenyew chaguo lako mwenyew hta kuisoma no utulie.....mkiambiwa chagueni viongoz wenye akili mnakataa ila sasa ndo malalamiko.
 
''Nitahakikisha wanaishi kama mashetani'' hiyo kauli unafikiri walisemewa nguruwe?
 
watumishi ,wanafunzi,wanaosubiri ajira,wafanyabiash,wakulima


wote hawa bado WANAJIPA MOYO wanasema HUENDA HUKO MBELE MAMBO YATAKUWA MAZURI,


HUENDA HUKO MBELE ATAAACHIA.



ila SIKU WAKIKATA TAMAA
Hawa waliokuamini

itakuwa hatari kubwa
 
'Watanzania mniombee' nafikiri umefika muda sasa wa kuanza kujiombea wenyewe.
 
Si mlichagua pushup...wacha namba isomeke vizuri ili 2020 msirudie ujinga huu
 
Back
Top Bottom