Msema kweli ni mpenzi wa Mungu, hivi kinachojengwa Tazara ni Flyover au tumepigwa?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
118,330
219,683
Imebidi niulize ili na mimi nitoe tongotongo la kitanzania, mimi ni mfanyabiashara wa kimataifa na nimebahatika kusafiri kwenye nchi kadhaa za Kiafrica, Ulaya na America, nazifahamu BARABARA ZA JUU ( FLYOVER ), kwa kadri ya ufahamu wangu hazifanani na kinachojengwa Tazara.

Naomba anayelijua jina la kivuko kinachojengwa Tazara anisaidie.

Naomba kuwasilisha.

tazara.jpg

=======

Taso said:

images-25-jpeg.706211

Hivi tumeshawahi kuonyeshwa pictorial model ya finished product itakavyokuwa? Manake sipasomi kabisa...

Kwa nini inaenda uelekeo mmoja tu, yani inaruka juu along Nyerere Road. Hakuna mikunjo ya miduara ya kupiga kona juu kwa juu.

Ina maana magari ambayo hayaendi moja kwa moja along Nyerere road bado yatakuwa yanakutana ardhini chini ya daraja, halafu itabidi yaongozwe na polisi na taa. Kama ndivyo hili fly over litakuwa ni njilinji, yani ni magumashi mwanzo mwisho!

Ninavyojua mimi flyover makini, tena la kwanza la kitaifa, nilitegemea magari hayasimami kusubiriana... sasa sijui tumepigwa kwenye mkataba au bado kuna mpango wa kuyashusha majengo ya AZAM (National Milling ya Taifa iliyouziwa Bhakhressa kimagumashi...) ili kujenga fly over za kukunjia kona????

1024px-High_Five_Interchange_2007.jpg
 
Imebidi niulize ili na mimi nitoe Tongotongo la Kitanzania , mimi ni mfanyabiashara wa Kimataifa na nimebahatika kusafiri kwenye nchi kadhaa za Kiafrica , Ulaya na America , nazifahamu BARABARA ZA JUU ( FLYOVER ) , kwa kadri ya ufahamu wangu hazifanani na kinachojengwa Tazara .

Naomba anayelijua jina la kivuko kinachojengwa Tazara anisaidie .

Naomba kuwasilisha .
Tuma Kapicha Tukusaidie Kushangaa
 
Inaitwa Interchange
 
CDM nyie mnaakili za kindezi kabisaa kila kitu nyie ni kibaya kwenu, reli inayojengwa mseme ni mbaya, flyover mseme, miradi mbalimbali muiseme sijui mpoje aiseee..
Ikulu mtaisikia bombani tu tunataka maendeleo sio kelele za hovyo kutoka kwenu.

Am out
 
Mmeishiwa pumzi. Imekata kabisa. Enzi za Dr. Slaa chadomo mlitisha kwa hoja. Mmebaki Na viroja
 
CDM nyie mnaakili za kindezi kabisaa kila kitu nyie ni kibaya kwenu, reli inayojengwa mseme ni mbaya, flyover mseme, miradi mbalimbali muiseme sijui mpoje aiseee..
Ikulu mtaisikia bombani tu tunataka maendeleo sio kelele za hovyo kutoka kwenu.

Am out
Mungu akupe maisha merefu uzidi kuiwaza CDM na Wanachadema.

Peoplesssssssss.......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom