Msekwa Atoboa siri ya Butiama

Well said Mzee Mkandara!,
Warioba hatojibu shutuma za Mzee Msekwa,kwa kufanya hivyo atauua huu mjadala(kifo cha mende),kama ukisoma kwa makini maneno ya Mzee Msekwa utagundua kuwa kuna mengi zaidi ya hayo......hakukuwa na sababu yoyote ya kujibu shutuma za Mzee Warioba kwa maneno ya mtaani,Msekwa anatafuta vita vya maneno ambavyo mwisho wake si mzuri......Sijui nani kawaloga hawa wenzetu (CCM),Naona kila siku kuna beef jipya huko.....Ni vyema wamuone Mama Mbunge/Mchungaji ili aombee amani itawale ndani ya Chama Tawala.
Haaahaa.Kuna mapepo wanayakusanya kwa kushinda kwa waganga. Wanahitaji mtaalamu wa kuyapunga maana ni kama wamechanganyikiwa. Kila mtu anakuja na lake as if hakuna taratibu ndani ya chama
 
tatizo la msekwa ni kujifanya mjuaji huku ni mnafiki mkubwa hizo ni hasira za kuecnguliwa uspika miaka minne ilopita, ni mmoja wa mafisadi wakubwa tanzania, tena afunge domo lake kabla sijashusha rungu la maadili kwake anapoulizwa kitu awe na adabu kkukitolea majibu, hivi sisi emu inakuwaje na kiongozi mwenye majibu ya kihuni namna hiyoooo? Mwana shetani mkubwa huyu!!!!! inaonekana hana hata dini eee?
 
Back
Top Bottom