Mkuu wa Mkoa wa Mara atembelea Mradi wa Kituo cha Polisi Butiama unaojengwa kwa Tsh. Milioni 802

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,309
5,464
IMG-20231119-WA0001(1).jpg

Nimesoma kupitia mitandao ya kijamii kuhusu mjadala wa kukamilika kwa kituo cha Polisi Butiama kwa thamani ya sh mil 802.

Kwanza nawapongeza waandishi kwa kuibua hoja na mjadala, ingawa hoja na mjadala haukusikia wala kutaka kufahamu kutoka upande wa serikali.

Kwa kuwa serikali yetu ni serikali inayotoa uhuru kwa wanahabari na vyombo vya habari tumeitikia wito wenu wana habari,

Leo nimetembelea mradi uliotajwa hapo juu na kupokea taarifa na kukagua kituo hicho,
IMG-20231119-WA0031.jpg

IMG-20231119-WA0028.jpg

POST (3).png
Kwanza Mradi huu ni kweli una thamani ya sh mil 802 hadi kukamilika kwake. Piga mstari kaka jemedari neno kukamilika kwake.

Hadi sasa serikali imetoa fedha kwa acc ya RPC Mara sh mil 500.

Matumizi ya sh mil 500 iliyotolewa ni kama ifuatavyo.
IMG-20231119-WA0035.jpg
1. Mil 43 imelipwa kwa wananchi wa Butiama wenye viwanja 6, uthamini na mchakato wa malipo yao umesimamiwa na halmsahauri ya wilaya Butiama.

2. Hadi sasa sh mil 91 bado haijatumika katika mradi, mil 48 imeombwa hazina kwa matumizi haya

A. Mil 16.4 malipo ya Local fundi.
B. Retention mil 2.1
C. Diesel ya mradi mil 3.4
D. Supplier Al Nadabi mil 12.6
E. Umeme Tanesco mil 14.

Malipo haya yameithinishwa lakini hayajalipwa bado.

Aidha kwenye Acc ya mradi fedha sh mil 42.453.460.18 hazijatumika kwa sababu kazi bado inaendelea.

Kwa msingi huo fedha takriban mil 366 zimetumika hadi hapo mradi ulipofikia.

TASWIRA YA MRADI

Nimejionea ukubwa wa jengo takriban sm 737 nimepima kwa kushirikiana na wahandisi. Bado nalifanyia kazi zaid kitaalam zaid.

Jengo lina ofisi za OCD, OCCID, DTO na OCS, lina mahabusu ya watoto chini ya miaka 18, mbili, kwa wanaume na wanawake. Ina mahabusu ya walemavu na mahabusu ya wakina baba na wakina mama. Jumla mahabusu 6 zenye uwezo wa kuchukua watu kati ya 50 na 60. Vyumba 31 na vyoo 15.

HATUA TUNAYOCHUKUA KAMA SERIKALI
1. Kupitia mkaguzi wetu wa ndani RS tutakagua takwimu na kiasi cha fedha kilichotumika yaani mil 366 kama kinalingana na thamani ya fedha.

2. Tutaishauri serikali kupitia wizara ya mambo ya ndani mradi huu unaweza kuisha chini ya thamani hiyo iliyotajwa.

Mwisho, eneo linahitaji uzio na canteen, endapo fedha iliyopitishwa kwenye bajeti itatolewa tuombe kibali cha kutekeleza sehemu ya pili ya mradi.

Said Mtanda
RC Mara.
19 Nov 2023

Pia soma: Kituo cha Polisi Wilaya ya Butiama chajengwa kwa Tsh. Milioni 802, kukamilika Desemba 2023

Jamiiforums vinara wa habari za kina. Mkuu wa mkoa amejitokeza.

Lakini hoja mbalimbali za raia zenye maswali muhimu na nyeti kuhusu vigezo / standard , masharti ya kiusalama, value for money, ramani ya jengo n.k hazijajibiwa

Toka Maktaba :

Kituo cha SitakiShari jijini Dar es Salaam kilivyovamiwa na magaidi

2015 13 July

Watu 7 wameuwawa kwa kupigwa risasi na majambazi katika kituo cha polisi cha Staki Shari.

Watu saba wameuwawa kwa kupigwa risasi miongoni mwao askari polisi wanne, mtuhumiwa mmoja pamoja na raia wawili ambapo askari mmoja amejeruhiwa huku watoto wanaokadiriwa kuwa na umri wa miaka minne hadi mitano wakinusurika kifo katika kituo cha polisi cha Sitaki Shari baada ya watu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi kuvamia kituo hicho na kuiba silaha ambazo idadi yake kamili haijafahamika.

View: https://m.youtube.com/watch?v=huGzE0eTl54

1700408024369.png

Picha : Afande IGP Ernest Mangu akiwa eneo la tukio Kituo cha Polisi SitakiShari jijini Dar es Salaam

Watu saba wameuwawa kwa kupigwa risasi miongoni mwao askari polisi wanne,mtuhumiwa mmoja pamoja na raia wawili ambapo askari mmoja amejeruhiwa huku watoto wanaokadiriwa kuwa na umri wa miaka minne hadi mitano wakinusurika kifo katika kituo cha polisi cha Sitaki Shari baada ya watu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi kuvamia kituo hicho na kuiba silaha ambazo idadi yake kamili bado haijafahamika.

Mkuu wa jeshi la Polisi IGP Ernest Mangu ni miongoni mwa viongozi wa ngazi za juu wa jeshi hilo aliyefika katika eneo la tukio na mara baada ya kukagua na kupata maelezo ya tukio hilo ameonesha kusikitishwa na kutamka kulaani kwa nguvu zote tukio hilo huku akiongeza kuwa tukio hilo lina viashiria vya kigaidi huku akishindwa kutaja idadi ya silaha zilizoibwa kwa madai ya sababu za kiitelijensia na uchunguzi utakapokamilika taarifa rasmi itatolewa lakini akakiri kuchukuliwa kwa baadhi ya silaha.

Katika eneo hilo la tukio ambalo ulinzi ulikuwa umeimarishwa vikali na askari polisi waliokuwa na silaha nzito pamoja na mabomu ya machozi wananchi walitakiwa kukaa mbali na tukio huku wakiwa wamejikusanya katika makundi wakiwa wanatafakari tukio hilo la aina yake ambapo badhi yao wametoa ushauri kwa jeshi la polisi ili kukabiliana na uhalifu mpya wa kuvamia vituo vya jeshi la polisi.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ambaye pia ni mkuu wa mkoa wa Dar es salaam RC Mh. Said Meck Sadiq aliyefika eneo hilo ameelezea kuwa tukio hilo ni la aina yake na kutaka ushirikiano kutoka kwa wananchi kuwezesha kuwakamata wahalifu hao huku akiongeza kuwa nyakati za kuaminiana zimeanza kutoweka na hivyo ni vyema kuwatilia mashaka hata wale wanaoonekana kwenda katika nyumba za ibada kwa kuwa mipango ya uhalifu baadhi yake husukwa na kupangwa kwenye nyumba hizo za ibada.

Tukio hilo ambalo limeshtua watu wengi jijini Dar es Salaam na maeneo mengine na linalo tafsiriwa kuwa ni la kinyama na haijapata kutokea, blog ya Tambarare Halisi imeshuhudia damu, maganda ya risasi pamoja na visu ambapo mashuhuda wamesema kuwa mmoja wa mtuhumiwa aliyeuwawa amepigwa risasi na majambazi wenzie baada ya pikipiki aliyokuwa akiitumia kushindwa kuwaka ili kuondoka katika eneo la tukio baada ya kutekeleza uhalifu huo ambapo watoto watatu waliofahamika kwa majina ya Lea, Recho na Richard waliokuwa wamehifadhiwa katika kituo hicho baada ya kupotea wakinusurika.

Kwani hadi sasa hakuna kundi lililokiri kutekeleza shambulizi hilo japo IGP Ernest Mangu kusema kuwa ni mapema mno kusema kuwa shambulizi hilo lilikuwa la kigaidi.

Hii si mara ya kwanza kwa kituo cha polisi kuvamiwa, mwaka uliopita 2014 kundi la watu waliokuwa wamejihami lilivamia kituo cha polisi na kukimbilia mwituni hali hii ambayo imeanza kuogofya na haswa ikizingatiwa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu.

Imefika sasa wakati kwa jeshi la polisi kuweza kuanza sasa uchunguzi wenye tija na usio na kikomo ili kubaini mizizi ya watu hawa wanao fanya matukio haya kuwa wapi wanatoka,Wanatumwa na nani, Nini dhumuni la Matukio hayo,ili ifikie wakati sasa kwamba nchi yetu inakuwa salama bila ya kutokea kwa matukio haya ambayo hayana nia njema yanaondoa roho za watu wasio na Hatia tena walinzi wataifa.

Ushauri kwa jeshi letu la Polisi ijaribu kusoma mbinu mbali mbali za watu wanaofanya uhalifu huu na ifikie wakati wasogeze urafiki na jamii kwani watu hawa pasi na shaka huenda wakawa wanatoka miongoni mwa jamii na kutekeleza unyama huu ambao bado haujafahamika nini dhumuni lao hadi hivi tena ikifanya unyama huu kwa askari wetu wenye nyenzo za kujihami
 
Nimesoma kupitia mitandao ya kijamii kuhusu mjadala wa kukamilika kwa kituo cha Polisi Butiama kwa thamani ya sh mil 802.

Kwanza nawapongeza waandishi kwa kuibua hoja na mjadala, ingawa hoja na mjadala haukusikia wala kutaka kufahamu kutoka upande wa serikali.

Kwa kuwa serikali yetu ni serikali inayotoa uhuru kwa wanahabari na vyombo vya habari tumeitikia wito wenu wana habari,

Leo nimetembelea mradi uliotajwa hapo juu na kupokea taarifa na kukagua kituo hicho,
View attachment 2818900
View attachment 2818902
Kwanza Mradi huu ni kweli una thamani ya sh mil 802 hadi kukamilika kwake. Piga mstari kaka jemedari neno kukamilika kwake.

Hadi sasa serikali imetoa fedha kwa acc ya RPC Mara sh mil 500.

Matumizi ya sh mil 500 iliyotolewa ni kama ifuatavyo.

1. Mil 43 imelipwa kwa wananchi wa Butiama wenye viwanja 6, uthamini na mchakato wa malipo yao umesimamiwa na halmsahauri ya wilaya Butiama.

2. Hadi sasa sh mil 91 bado haijatumika katika mradi, mil 48 imeombwa hazina kwa matumizi haya

A. Mil 16.4 malipo ya Local fundi.

B. Retention mil 2.1

C. Diesel ya mradi mil 3.4

D. Supplier Al Nadabi mil 12.6

E. Umeme Tanesco mil 14.

Malipo haya yameithinishwa lakini hayajalipwa bado.

Aidha kwenye Acc ya mradi fedha sh mil 42.453.460.18 hazijatumika kwa sababu kazi bado inaendelea.

Kwa msingi huo fedha takriban mil 366 zimetumika hadi hapo mradi ulipofikia.

TASWIRA YA MRADI

Nimejionea ukubwa wa jengo takriban sm 737 nimepima kwa kushirikiana na wahandisi. Bado nalifanyia kazi zaid kitaalam zaid.

Jengo lina ofisi za OCD, OCCID, DTO na OCS, lina mahabusu ya watoto chini ya miaka 18, mbili, kwa wanaume na wanawake. Ina mahabusu ya walemavu na mahabusu ya wakina baba na wakina mama. Jumla mahabusu 6 zenye uwezo wa kuchukua watu kati ya 50 na 60. Vyumba 31 na vyoo 15.

HATUA TUNAYOCHUKUA KAMA SERIKALI

1. Kupitia mkaguzi wetu wa ndani RS tutakagua takwimu na kiasi cha fedha kilichotumika yaani mil 366 kama kinalingana na thamani ya fedha.

2. Tutaishauri serikali kupitia wizara ya mambo ya ndani mradi huu unaweza kuisha chini ya thamani hiyo iliyotajwa.

Mwisho, eneo linahitaji uzio na canteen, endapo fedha iliyopitishwa kwenye bajeti itatolewa tuombe kibali cha kutekeleza sehemu ya pili ya mradi.

Said Mtanda
RC Mara.
19 Nov 2023

Pia soma: Kituo cha Polisi Wilaya ya Butiama chajengwa kwa Tsh. Milioni 802, kukamilika Desemba 2023
Kwa kuandika mko vizuri.
Kuna yule wa jezi feki hadi leo siku saba hazija fika?
Acheni kucheza na aki aa Watanzania. Sisi ndio waajiri wenu. Ccm muendako mna kuja kukataliwa kama George Weah alivyo kataliwa kwa rushwa na magumashi.
 
Hichi ni kituo Cha polisi au lodge?.
 
Aisee huu wizi wa mchana kweupe

Hivi kwanini hizi taasisi za serikali kama shule, zahanati, vituo vya polisi;havijengwi kwa ramani moja kama zamani?
Kwasababu zamani ukiona tu majengo unajua hii ni shule. Lakini leo hii wengine wanajenga kama vile ni nyumba za wageni au hotel! Sijapenda!
 
Back
Top Bottom