Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,214
- 42,086
Huyu Msanii wanawake wanampendea nini? Naangalia hapa TV-E wanavyo mshangilia yani ukiacha sauti nzito sioni cha ajabu kutoka kwake lakini naona ndio msanii ambaye wanamshangilia sana!
Sitoshangaa huyu msanii akiwa anawapata wanawake kisa ana sauti nzito! Au pengine mimi sioni wengine wanacgo kiona? Kweli maisha ni bahati tuuu! Yani hapa ndio utashangaa kuhusu wanawake….