Msanii Jaiva wanawake wanampendea nini?

Leak

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
52,211
42,074
Huyu Msanii wanawake wanampendea nini? Naangalia hapa TV-E wanavyo mshangilia yani ukiacha sauti nzito sioni cha ajabu kutoka kwake lakini naona ndio msanii ambaye wanamshangilia sana!

Sitoshangaa huyu msanii akiwa anawapata wanawake kisa ana sauti nzito! Au pengine mimi sioni wengine wanacgo kiona? Kweli maisha ni bahati tuuu! Yani hapa ndio utashangaa kuhusu wanawake….
IMG_2057.jpeg
IMG_2056.jpeg
IMG_2058.jpeg
IMG_2059.jpeg
IMG_2060.jpeg
 
Ni namna walivyo m-brand tu “kuwa anapendwa na wanawake”, imesemwa sana mpaka imeonekana kama kweli.

Na ilivyo akili ya wanawake baadhi wanachukuliwa sana na upepo.

Kwasababu sidhani kama ana wimbo wowote wa maana wakumfanya hata mtu umsikilize mara mbili mbili. Binafsi naujua tu ule sijui nini nini buruda.
 
Wanawake ni viumbe wa ajabu sana. Kuna kamoja kaliniambiaga kanampenda ssna keanu Reeves wa john wick. Nikakatema na hadi imenifanya namchukia huyu jamaa wa matrix. Lina sura mbaya.
Na kwa jaiva usije ukajichanganya ukauliza maoni kutoka kwa mpenzi wako unaweza kuishia kuumia hahaa mkuu pole sana yani ulintema kisa ana mkubali? Hahaha una wivu sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom