Msanii bora wa mwaka JamiiForums, Piga kura sasa

ulianza wewe wakaja waimbaji na wabana pua/
wale mwewe mfano wa wawindaji wakatusua/


hakuna wa kupigiwa kura na mimi katika list uchwara umetuona wote wabana pua au ?
 
sssa kama dayamondi yupo kura za nini tena, yule dogo si zoa zoa tuu wa tuzo au hamumuonagi
 
ulianza wewe wakaja waimbaji na wabana pua/
wale mwewe mfano wa wawindaji wakatusua/


hakuna wa kupigiwa kura na mimi katika list uchwara umetuona wote wabana pua au ?

wengi mulibwebwa mgongoni hamuwezi juwa uchungu wa safari
 
Acheni zenu yaani ujue Watanzania cc wabovu wa kukalili Hivi diamond kwa kipi mbona anafanana na Mavoko tu ?
Ebu ickize iyo Nitampata wapi na Pacha wangu ukimaliza tazama Video ya Nitampata wapi na Pacha wangu ukimaliza uache kuongea kiushabiki useme nani ni best apo

Mziki wa Tanzania tatzo upo kwnye mikono ya watu wachache na ucpokua chini yao utaambulia Patupu kila cku

Mi coni tofauti ya mavoko na Diamond
Kupewa tuzo aimaanishi we n mkali kuliko wengine Mfano kule mbele kuna mtu Anaitwa Licardo Di Caprio jamaa ajawahi kushinda Oscar ila nafikir kazi yake munaijua
duh ndugu kwa hiyo video moja kali ya mavoko ndo umlinganishe Platnums hats mimi nashauri hapo Diamond aondolewe coz ni kumkosea adabu kumuweka hapo ndo maana hata mbele huwezi kuona MESSI akipambanishwa na SUAREZ au AGUERO mara nyingi atapambanishwa na C.RONALDO ila haimaanishi hao wengine sio bora.
 
Hao Wote Hapo Machok*o Niwekee Songa,nikki Mbishi,nash Mc,p The Mc,one Incredible,fid.Q Nk
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom