Msanii bora wa mwaka JamiiForums, Piga kura sasa

Singida ndio home

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,191
3,353
Ikiwa tunaelekea mwisho wa mwaka 2014, tumeshuhudia mengi kutoka kwa wasanii wa hapa Tanzania, Juhudi na jitihada zimefanya wasanii wetu kuvuma kwenye media nyingi wakiwa na support za mashabiki wao katika kazi zao nzuri, na hii ni fursa nyingine kutoka Jamiiforums kuchagua msanii aliyeteka vilivyo ndani ya huu mwaka.

TAFADHALI PIGA KURA MARA MOJA TU, MWISHO KUPIGA KURA TAREHE 6 DECEMBER 2014.

Msanii bora wa kiume

A. Rich Mavoko
B. Diamond Platnumz
C.Jux
D.Ally kiba

************ UPDATED DAILY RESULTS***************



 
kiwa tunaelekea mwiaho wa mwaka 2014, tumeshuhudia mengi kutoka kwa wasanii wa hapa Tanzania, Juhudi na jitihada zimefanya wasanii wetu kuvuma kwenye media nyingi wakiwa na support za mashabiki wao katika kazi zao nzuri, na hii ni rursa nyingine kutoka jamii forums kuchaua msanii aliyeteka vilivyo ndani ya huu mwaka))

TAFADHARI PIGA KURA MARA MOJA TU MWISHO KUPIGA KURA TAREHE 6 DECEMBER 2014

Msanii bora wa kiume

A. Rich Mavoko
B. Diamond Platnumz
C.Young killer
D.Ally kiba

Kuna option ya kuweka poll na sio kuandika majina
 
kiwa tunaelekea mwiaho wa mwaka 2014, tumeshuhudia mengi kutoka kwa wasanii wa hapa Tanzania, Juhudi na jitihada zimefanya wasanii wetu kuvuma kwenye media nyingi wakiwa na support za mashabiki wao katika kazi zao nzuri, na hii ni rursa nyingine kutoka jamii forums kuchaua msanii aliyeteka vilivyo ndani ya huu mwaka))

TAFADHARI PIGA KURA MARA MOJA TU MWISHO KUPIGA KURA TAREHE 6 DECEMBER 2014

Msanii bora wa kiume

A. Rich Mavoko
B. Diamond Platnumz
C.Young killer
D.Ally kiba
alikiba anafaa
 
Ah mbona list haitoshi? Kuna wasanii wengi sana umewasahau.Kuna linex,banana,belle 9,cristian bella,33,ya motto band(maproso,aslay),mwana fa,prof j,stamina,jux,ommy dimpos,aah yani weengi sana siwez kuwamaliza ila list yako imebase katika very narrow angle ya mziki in general...Mleta mada umekurupuka au wewe ni shule ya kata
 
ngoja kwanza weka wasaniii kumi kwanza tupendekeze majina sisi sio weeewe
 
Hujamtendea haki Diamond kushindanisha na hao! Diamond ni level nyengine.

Sent from my SM-G800H using Tapatalk
 
Jina la diamond ondoa weka la Ommy dimpoz coz braza Chibu hakuna wa kushindana nae hapo....NATOA HOJA

Acheni zenu yaani ujue Watanzania cc wabovu wa kukalili Hivi diamond kwa kipi mbona anafanana na Mavoko tu ?
Ebu ickize iyo Nitampata wapi na Pacha wangu ukimaliza tazama Video ya Nitampata wapi na Pacha wangu ukimaliza uache kuongea kiushabiki useme nani ni best apo

Mziki wa Tanzania tatzo upo kwnye mikono ya watu wachache na ucpokua chini yao utaambulia Patupu kila cku

Mi coni tofauti ya mavoko na Diamond
Kupewa tuzo aimaanishi we n mkali kuliko wengine Mfano kule mbele kuna mtu Anaitwa Licardo Di Caprio jamaa ajawahi kushinda Oscar ila nafikir kazi yake munaijua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom