Mchague msanii bora wa mwaka 2012

Iamjac16

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
214
53
Chagua Nani Ni Msanii Bora Wa Mwaka 2012 Orodha Ya Wasanii
kundi A:hip Hip
1.ROMA
2.STAMINA
3.KALA JEREMIA
4 FIDQ
5.SHETTA
6.GODZILLA
kundi B:rnb
1.BEN POL
2.DIAMOND
3.OMY DIMPOZ
4.BARNABA
5.LINEX
6.ALI KIBA
kundi C:msanii Bora Wa Kike
1.RECHO
2.LINAH
3.QUEN DARLII
4.MWASIT
5.SHILOLE
KUPIGA KURA ANDIKA JINA LA MSANII MFANO KUND A:DARASA B:BANANA PIA UNAWEZA KUPENDEKEZA MSANII YOYOTE AINGIE KWENYE ORODHA IFIKAPO KESHO NITATOA TOP 3 KWA KILA KUNDI
 
hao umewachagua kwa kutumia vigezo gani?
 
Mpaka Sasa Kundi A:ROMA Anongoza
kundi B:BEN POL
kundi C:linah
endelea Kumpigia Kura Msanii Aliyefanya Vizuri Kwa Upande Wako Matokeo Ya Mwisho Ni Tar 3/1/2013
 
wat About NIKKI WA 2!! and daimond ommydimpoz hawaimbi rnb kwel hujui mzki!! ben paul sawa n the best rnb singer ok never mind cjaona alichofanya roma mwaka huu. xo ma crdt goz 2 !staaaaminaaaah! ben paul bhaaaass
 
He Nisaidie We Unaejua Staili Yao Ni Ipi
 
Sheta anaimba hiphop gan?au nimechokwa,nidanganyedanganye,mdananda na bonge la bwana ndo hiphop unazozijua ww?
Hapo kwa sheta mweke DARASA!
Kwani nishike mkono imefanya vizuri mwaka huu!
Na hapo ktk rnb toa domo,dimpoz na umweke Rama D!
So
1.Darasa
2.Rama D
 
Wanaimba bongoflavr music japo wa tz washazoea kusema mziki wote unaoimbwa hapa ni bongoflv!! Ukiskilza daimond dimpoz huwez sema n rnb kabisa kama unajua mzki!! Rnb ni kama ben paul,rama d, steve rnb nae anajitahdi. xo ungesema wasanii bora wa bongoflv wanaoimba rnb i thk
 
Back
Top Bottom