MSAKO! MSAKO! MAMNDENYI YUKO WAPI WAJAMENi???

Erickb52 na Mamdenyi kumbukeni kuwa hamjaniletea ripoti ya kazi yenu ya mwezi August,ningependa kujua maendeleo,mafanikio na changamoto mnazokumbana nazo!
 
Last edited by a moderator:
Baba V kazi imekuwa ngumu sana,
tumebakia na Erickb52 kuvizia kwenye mahoteli makubwa tu,
watu wanakula kona ile mbaya,
yaani ndoa za humu hazina cheti wala washenga. Sijui kama hii kazi itawezekana.

Sikubaliani na wewe Mamndenyi coz yangu na Ronn M mshenga ni mhe wakili Rutashobolwa na cheti kitakuja ikikamilika ndio maana umeona Erickb52 ana wivu mkali anataka kutufinisha lakini hataweza labda useme baadhi ya ndoa
 
Baba V kazi imekuwa ngumu sana,
tumebakia na Erickb52 kuvizia kwenye mahoteli makubwa tu,
watu wanakula kona ile mbaya,
yaani ndoa za humu hazina cheti wala washenga. Sijui kama hii kazi itawezekana.
Umeona eeeeh Mamndenyi
Halafu Amyner wangu karudi nimefurahi naomba niwakabidhi cheo chenu kwa muda kwanza nikarenew ndoa yangu then nikirudi ntaendelea
Namkabidhi Mr Rocky majukumu ya kukagua couples na wewe!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom