MSAKO! MSAKO! MAMNDENYI YUKO WAPI WAJAMENi???

Arushaone

JF-Expert Member
Mar 31, 2012
15,135
13,254
ISIJEKUWA KAPELEKWA MABWEPANDE AU KALA BAN?
arabela, amyner, bishanga, c.6, charminglady, asprin, bishanga, madame b, kongosho, king'ast, erickb52, cacico, denaamsi, jamani ambao sikuwataja mniwie radhi natumia simu. MNIAMBIE MALKIA WANGU YU WAPI??
 
atakuwa kaenda kuuza chang'aa, hapo hadi kesho asubuhi.

ww kongosho wafanza utani eeh? Mwenzio sijamtia machoni tangu tar 28 mwezi agost. Hanaga tabia za hayo makitu kweli. Presha inapanda na haishuki.....msaada...!
 
una hakika ni wako peke yako? Coz viashiria vyaonesha kama ushatiwa ndimu hivi !

mzee wa hukumu salaam! Nina wivu mbaya sana. Sasa wewe unatia mchanganyiko wa chumvi, pilpil na ndimu kwenye kidonda fresh? Bp up?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom