MSAKO! MSAKO! MAMNDENYI YUKO WAPI WAJAMENi???

we hebu mp Asprin alikuwa anakutafuta, Arushaone mwache kwanza kidogo.

Arushaone kama wife karunaway from you, just go after her if akikataha ni PM. natoka pangani keso nitakuja kama uko arusha jst pm me. now go to the bed and try to sleep. mwaaaa.
 
Kongosho hafai my ex wangu,
lakini gongo wanatumia sana kule ar shauri ya baridi
nikienda kwa Arushaone nitaangalia kama inalipa nitafanya hako kabiashara,
mtaji wake ni mfuko mmoja tu wa mbolea.

Hivi we Kongosho toka nimekununulia ka vitz na kukutambulisha mariedo unajidai eh? Djuu ya nini unasema ex wangu supamodel Mamndenyi eti anauza gongo? Ntake razi.
 
Last edited by a moderator:
Ruttashobolwa tulia tu kwanza
nataka anikabidhi mgodi kule mererani, ila usimtonye kwanza, ni mimi na wewe tu.
Mamndenyi ninakuomba baadae tukutane kule hotelini kwa ajili ya kumalizia kujadili yale masuala yanayosumbua wapenzi wengi humu jamvini kama tulivyokabidhiwa kamati ba Baba V
Room number ni ile ile uliyonikuta na jeneneke mke wa Ronn M last weekend na kama ukinikosa basi uje tulikokuwa na wewe ijumaa
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom