Chechetuka
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 549
- 44
huyu mzee sijui nae amelipwa kiasi gani kuleta maelezo marefu kiasi hiki!!!
Na wewe umelipwa kiasi gani kuchukia mtu anaposema ukweli, na hasa unaomuhusu "baba yenu Fisadi mkubwa" huyu? Njoo na hoja ya msingi hapa. Mukiambiwa mumekaa upande usiofaa hamtaki. Zigo hilo libebeni sasa. Tunawasubiri kwa hamu kubwa saana mitaani.