makundi4619
JF-Expert Member
- Jul 12, 2012
- 486
- 141
Ndugu Kasori,
That is what I was saying ,kwamba kuna irregularities in what you are writing,inconsistency and ambiguity.
Ingawa sasa hivi I cannot accuse you of ambiguity. Huyu Valentine Mokiwa is a straight talker. If you talk to him,you will not go away guessing at his meaning,what he was trying to say to you.
What you are writiing now is very clear. Unaandika maneono ya kumkashifu Mwalimu Nyerere.
Wewe ulikuwa umeajiriwa nyumbani kwa Mwalimu Nyerere. You were a servant in his house. We cannot always call people like you Civil Servants,you are just hired servants. Kwa hiyo ulitakiwa kuonyesha loyalty kwa Mwalimu.
Sasa unatuambia Lowasa alitaka kuamuru Mwalimu aende Monduli kulisafisha jina lake.
Halafu sasa unatuambia,CCM haikupendezwa Mwalimu kuongea na Wapinzani,hususan, Mrema,na Seif Hammad. Kwa hiyo,siku moja,wakatuma ndege Butiama to arrest Mwalimu,
Ameir,waziri wa mambo ya ndani,na majogo,waziri wa ulinzi.
Hizi story ni kashfa tu. We have heard enough. If you have any more such stories,keep them to yourself. Mambo ya zamani yasizungumzwe,zipo statute of limitation laws. Watu kama ni waouvu,lama walitenda uovu zamani,watatenda uovu leo pia. Tusahau ya zamani.
Let us focus our minds on these people,ambao inaelekea wameliibia Taifa.Let us be united in what we want to do,tusiongee kuhusu" agreeing to disagree."
Pia tusiongee juu ya tindikali,lest we be sent to the psychiatrist.
Tuna matatizo ya uchumi,and we have to clever like Prof. Stiglitz
Andrew Nyerere: Historia yenye kusimamia ukweli ni msingi muhimu sana katika kupanga mambo yanayofaa kwa wakati uliopo na ujao. Mzee Kasori anastahili shukrani kwa kutukumbusha ya huko nyuma. Nia yake ni njema si kuvuruga. Hii itasaidia kujirekebisha kwa viongozi wetu wa serikali na vyama vya siasa ili kuendeleza utawala bora ambao ni muhimu katika kuleta maendeleo ya kweli nchini.