Msaidizi wa Mwl. Nyerere (Mzee Kasori) alivyowashukia viongozi wa serikali ya awamu ya nne

huyu mzee sijui nae amelipwa kiasi gani kuleta maelezo marefu kiasi hiki!!!
wewe mbona unakuwa mvivu wa kufikiria?? soma alichoandika hatua kwa hatua kama una ukweli mwingine tofauti na huo, toa hoja ijadiliwe kuliko kupost vitu virahisirahisi namna hii watu aina yenu wasiopenda kufikiri na wanaotoa majibu marahisi kama lako ndio wamefikisha hili taifa hapa lilipo!!
 
Kwa vyovyote vile Lowasa is no good. Kujiuzuru uwaziri iwe kwa maslahi yake, ya chama, au ya nchi tayri hilo ni doa la kumfanya asiwe na sifa za kuwa rais, mmbunge labda aendelee na ubaba na ujomba nk. This guy is no good
 
Unajua kwa nini baadaye Mkapa alimpa uwaziri Lowassa? Ni kwa sababu Mkapa wakati huyu naye alishachafuka....wasn't Mr. Clean anymore!
Kikwete nanaweza akamtengua kiuno huyu bwana Lowassa akitaka, or else huyu jamaa akifika ballot box ataukwaa urais maana wengi wetu bado tumellala......hapo ndipo tutakapopata rais dikekta hasa.
Ewaaaah! Hapo umenena. He is a Dictator. And this country needs a dictator to run forward.
 
Ndugu yangu Nyerere is not god. Yeye mwenyewe ana mengi amevurunda na tungependa atupe majibu lakini ametangulia mbele za haki hivyo case closed na tunamheshimu na kumpenda kwa sababu pia kafanya mengi mazuri most notably ni kuishi maisha ya 'ujamaa' alivyokuwa anahubiri

Ni muhimu kumuenzi nyerere lakini hana mamlaka ya kutuamulia tunataka nini na nani awe kiongozi wetu

Binafsi simtetei lowassa but kuwa kwake tajiri ndo iwe sababu ya kumnanga na kuona hana sifa ya kushirika? Je ni ishu ya richmond, if so to be sincere tangu zimwi la richmond lilipoenda public sijawahi thibitishiwa pasipo shaka kuwa EL ndie mhusika mkuu, instead what I see and learnt of thatc is gutter and mud slinging politics at its best hearing towards character assasination. Nothing more than that.......coz there are a lot of 'super richmonds' in our country but zinazimwa makusudi kabisa

Kama nyerere alitamka alichosema it's just his own opinion and he may not be right as well......

Wewe pia huna mamlaka ya kutushawishi kwamba EL ni MR CLEAN
 
Kuelekea 2015 tutasikia Mengi endeleeni kutujuza waTz tutayachambua na kufanya uamuzi.
 
Kuna mtu kasema EL anaweza kukamata nchi na akawa dictator! basi mie naanza kumpenda lowasa kama kweli atakuwa dictatorm atasaidia sana hii nchi iliyojaa wezi kila kona.
 
wewe mbona unakuwa mvivu wa kufikiria?? soma alichoandika hatua kwa hatua kama una ukweli mwingine tofauti na huo, toa hoja ijadiliwe kuliko kupost vitu virahisirahisi namna hii watu aina yenu wasiopenda kufikiri na wanaotoa majibu marahisi kama lako ndio wamefikisha hili taifa hapa lilipo!!

Toka mbabe wenu azungumze Dodoma nawaona mnavyoangahika.na piga ua huyo ndiye mgombea wenu wana CCM!!
 
mtakua mmelipwa sawa wewe umelipwa na lowassa na yeye kalipwa na membe, au sio mkuu?
Mkuu MTM unajua nimesoma hiyo article nikaona jamaaa anajidai eti ni mwana CCM na mzalendo wa nchi hii. Alikuwa wapi siku zote kuyasema haya. Huyu ana genge lake kati ya magenge yaliyoko CCM.
 
Yote kwa yote Watanzania ndio wenye mamlaka ya mwisho ya kuamua nani awe mapangaji wa magogoni 2015.
 
Wewe mzee na wewe ni mnafiki ulikua wapi siku zote hizo? Laiti ungesema haya pengine (kama ni kweli) basi leo Tanzania isingekua hapa ilipo leo!!! Leo hii itasaidia nini wakati mabo haya yamekua kama hadithi? Lowasa yupo, Kikwete yupo lakini uwepo wao hauna maana kwasababu Leo hii Rashidi Kawawa na Nyerere Kambarage hawapo, who else can prove this for Us? Je kikao hicho ilikua ni wewe na hao marehemu tu? Hakuepo mtu mwingine? Hapana Mzee hadithi yangu haina funzo ila si kwamba namtetea Lowasa! Gnt
 
Mbona hata Huyo nyerere Aliboronga mengi!Manake watu wengine wataka tuendeleze Upupu wa Zidumu Fikra Sahihi za mwenyekiti!
 
Inaelekea huyu mzee anajua mengi , kama kweli ni mkweli atuambie nani kamua sokoine na nini ilikuwa sababu . Ndio tutanza kuamini hayo mengine.
 
mtakua mmelipwa sawa wewe umelipwa na lowassa na yeye kalipwa na membe, au sio mkuu?

Mh! Membe simpendi! Kwa hiyo wote ni watumishi siyo? Tena watumishi wa watu! Washindwe na kulegea, watupishe njia
 
Mkuu MTM unajua nimesoma hiyo article nikaona jamaaa anajidai eti ni mwana CCM na mzalendo wa nchi hii. Alikuwa wapi siku zote kuyasema haya. Huyu ana genge lake kati ya magenge yaliyoko CCM.

Tena jipya kabisa! Anakuja na kumbukumbu za vikao vyake vya zamani wakati Nchi imeshateketea? Huyu hafai kusikiliza maana siku zote ujumbe ujao nyuma ya wakati hauna maana tena.
 
Ndugu yangu Nyerere is not god. Yeye mwenyewe ana mengi amevurunda na tungependa atupe majibu lakini ametangulia mbele za haki hivyo case closed na tunamheshimu na kumpenda kwa sababu pia kafanya mengi mazuri most notably ni kuishi maisha ya 'ujamaa' alivyokuwa anahubiri

Ni muhimu kumuenzi nyerere lakini hana mamlaka ya kutuamulia tunataka nini na nani awe kiongozi wetu

Binafsi simtetei lowassa but kuwa kwake tajiri ndo iwe sababu ya kumnanga na kuona hana sifa ya kushirika? Je ni ishu ya richmond, if so to be sincere tangu zimwi la richmond lilipoenda public sijawahi thibitishiwa pasipo shaka kuwa EL ndie mhusika mkuu, instead what I see and learnt of thatc is gutter and mud slinging politics at its best hearing towards character assasination. Nothing more than that.......coz there are a lot of 'super richmonds' in our country but zinazimwa makusudi kabisa

Kama nyerere alitamka alichosema it's just his own opinion and he may not be right as well......

Nyie endeleeni kuraruana na hayo mambo yenu ya politics, mwenzenu nimefuata hiyo link na hivi sasa na-browse job opportinities!
 
mengi tutayasikia ila huyu mzee Samwel. H. Kasori lengao ake nini hasa? atangaze kabisa yuko upande gani asijifanye kuleta porojo. yote hayo ni vita juu ya urais haswa kwa watu wa kaskazini na haijaanzia leo toka kwa kina mang mariale ,sokoine na sasa EL. Nyerere hakuwahi kutaman nchi hii ikamatwe na rais toka kaskazin ndo maana that time akaamua kumchafua EL.

Ndugu yangu Nyerere is not god. Yeye mwenyewe ana mengi amevurunda na tungependa atupe majibu lakini ametangulia mbele za haki hivyo case closed na tunamheshimu na kumpenda kwa sababu pia kafanya mengi mazuri most notably ni kuishi maisha ya 'ujamaa' alivyokuwa anahubiri

Ni muhimu kumuenzi nyerere lakini hana mamlaka ya kutuamulia tunataka nini na nani awe kiongozi wetu

Binafsi simtetei lowassa but kuwa kwake tajiri ndo iwe sababu ya kumnanga na kuona hana sifa ya kushirika? Je ni ishu ya richmond, if so to be sincere tangu zimwi la richmond lilipoenda public sijawahi thibitishiwa pasipo shaka kuwa EL ndie mhusika mkuu, instead what I see and learnt of thatc is gutter and mud slinging politics at its best hearing towards character assasination. Nothing more than that.......coz there are a lot of 'super richmonds' in our country but zinazimwa makusudi kabisa

Kama nyerere alitamka alichosema it's just his own opinion and he may not be right as well......

Na wewe "usiwe mjinga kama lowassa" issue sio utajiri wake bali ameupatapataje huo utajiri????mbona nyerere hakuwahi kuhoji utajiri wa bakhresa au kina sykes ama rupia enzi hizo????
 
Back
Top Bottom