MachoMakavu
JF-Expert Member
- Feb 6, 2008
- 367
- 44
Huyu jamaa anasahau kwamba aliokotwa Darajani na Karume hana mbele wala nyuma
gazeti la mwananchi limeshakuwa sawa na kiu tu
Jitahidi kuwek maneno sawa ueleweke mkuu,inawezekana una wazo zuri ila haujaeleweka bado.....lakini kumbuka kilicho badilisha madaraka Tunisia,Egypt,etc,hatutaki tfike hko,ila ni kuwaamsha tu watawala wetu kua wawe makini na mambo wanayofanya kwa wananchi wao...lazima wabadilike wajue watanzania wa leo sio wale wa jana na juziKwenye thread hii mchango wako hauna tofauti na wasira katika picha hapo.
gazeti la mwananchi limeshakuwa sawa na kiu tu
Watu wa Mbeya wameamuka sana hata rais wenu alipopolewa mawe
Kumekucha Tanzania-mikoani. Dar es laaam sijui kula matende na halua ndio kunafanya vijana kuwa legelege?
safi mby ndo 2nataka mikoa yote iwe ivo.ht leo huko mwanza magamba yatakuwa meng pelekeni lori la kokoto
Duh! ungefanya editing basi!Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Shamsi Vuai Nahodha Send JComments Waziri Nahodha apigwa
mawe Mbeya Saturday, 04 February 2012
08:08 ALIKUWA KATIKA ZIARA YA
CHAMA MBEYA, ASHANGAA
VIJANA KUMPIGA, AAGIZA
POLISI WAWASHUGHULIKIE Stephano Simbeye, Tunduma.
WAZIRI wa Mambo ya Ndani
ya Nchi, Shamsi Vuai Nahodha,
jana alionja 'joto ya jiwe'
baada ya msafara wake
kupigwa mawe alipokuwa kwenye ziara ya kuimarisha
Chama Cha Mapinduzi (CCM)
mkoani Mbeya..