Msafara wa mh. Nahodha Wapigwa Mawe Tunduma-Mbeya

Kwenye thread hii mchango wako hauna tofauti na wasira katika picha hapo.
Jitahidi kuwek maneno sawa ueleweke mkuu,inawezekana una wazo zuri ila haujaeleweka bado.....lakini kumbuka kilicho badilisha madaraka Tunisia,Egypt,etc,hatutaki tfike hko,ila ni kuwaamsha tu watawala wetu kua wawe makini na mambo wanayofanya kwa wananchi wao...lazima wabadilike wajue watanzania wa leo sio wale wa jana na juzi
 
To me hii ni hint ya kuhakikisha kuwa tunapotunga KATIBA mpya vitu kama hivi vielezwe wazi wazi kuwa Chama kwake na Serikari kwake.
 
Mimi ni mshabiki wa Chadema ila sijapenda kuona kiongozi wa nchi akirushiwa mawe bila kujali itikadi ya vyama. Ila Nahodha ajiulize yeye na wote wanaolitakia mema taifa hili, je ni sahihi yeye kufanya ziara za chama chake kwa kutumia mali za umma? Naomba dhamira yake imsute na hili liwe fundisho kwa viongozi wote haswa wa ccm kwani wanadhani wataendelea kutumia mali za umma wa kukijenga chama chao. Kwasasa elimu ya uraia inazidi kuwaingia watu
Mungu ibariti Tanzania
 
Dar es salaam wageni(toka nje ya nchi) wengi kiasi kwamba hata wenyeji hawajuani and fun enough watu wa Dar like to take sides.
Kumekucha Tanzania-mikoani. Dar es laaam sijui kula matende na halua ndio kunafanya vijana kuwa legelege?
 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Shamsi Vuai Nahodha Send JComments Waziri Nahodha apigwa
mawe Mbeya Saturday, 04 February 2012
08:08 ALIKUWA KATIKA ZIARA YA
CHAMA MBEYA, ASHANGAA
VIJANA KUMPIGA, AAGIZA
POLISI WAWASHUGHULIKIE Stephano Simbeye, Tunduma.
WAZIRI wa Mambo ya Ndani
ya Nchi, Shamsi Vuai Nahodha,
jana alionja 'joto ya jiwe'
baada ya msafara wake
kupigwa mawe alipokuwa kwenye ziara ya kuimarisha
Chama Cha Mapinduzi (CCM)
mkoani Mbeya..
Duh! ungefanya editing basi!
 
Mh .Jakaya wa CCM sikiliza point za hawa wavuha jasho .Wao hawana ugomvi na joka lenu CCM ila wanachukia nyie kutumia mali zetu kwa ajili ya joka lenu CCM ndiyo tatizo msiwakamate tu kwa kuwa mna madaraka .
 
Ngoja nimtafute Nahodha nione kama ana manundu ndio nitaamini hii habari ni ya kweli au la
 
Back
Top Bottom