Msafara wa makamu wa Rais waua Mbeya

RIP marehemu!Siku zake zilikuwa zimefika!Ni ngumu sana kuingia akilini namna ajali hiyo ilivyotokea maana huwa kuna magari yanayotangulia kutoa tahadhari labda ingekuwa gari lilikosea njia hapo ningetia neno!!Ndugu mtoa hoja yaani ulitegemea msafara usimame?umeona wapi hiyo ndugu yangu?
Kwenye msafara kunakuwepo na gari la huduma ya kwanza/Redcross. Je, kazi ya gari hilo ni kuhudumia nani kama siyo majeruhi wa ajali? Si kwamba siku zake zilikuwa zimefika. Spidi katika misafara ya viongozi ni kubwa mno utafikiri wanakimbilia mbinguni!
 
Ni ustaarabu kusimama na kuhudumia aliyegongwa!
Yeye ni kiongozi wa watu including huyo aliyegongwa!
Ila ikifika wakati wa uchaguzi wanafyata
 
when similar occurences happen in same way around same person or place, they should never be treated as coincidence!
.... a lesson in investigation
 
Hv huyu mzee jukumu lake ni kukata mautepe tu!maana kila taarifa ya habari kwa wiki nzima lzm atokee na mkac wake anakata utepe!labda kuna mahali alikua anawahi kukata liutepe ndio maana hao watu wake hawakuweza kucmama na kumsaidia majeruhi,jambo ambalo c busara kwa kiongozi wa nchi!
 
Haya tena, msafara wake emetaka kumuua MBUNGE na KATIBU TAWALA. Sijui kulikoni na misafara ya huyu mzee. Mi shindwa elewa kabisa
 
Back
Top Bottom