Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,525
- 6,472
Wakuu habari za muda huu,
Nimesahau pattern ya simu naomben ujuzi naifunguaje simu hii
Nimesahau pattern ya simu naomben ujuzi naifunguaje simu hii
Wakuu habari za muda huu,
Nimesahau pattern ya simu naomben ujuzi naifunguaje simu hii
Rudisha simu ya watu uliyoiba haraka!!
Mkuu ni ya rafki yangu tuRudisha simu ya watu uliyoiba haraka!!
Kama ni ya rafiki yako basi yawezekana kaiba au kanunua kimagendo au kwa mtu tu...sababu ukisahau pattern simu itakuomba email yako...kama sio yake basi hawezi kujua email husika ya mwenye simuMkuu ni ya rafki yangu tu
yakhe! hiyo ishakula kwako , hapo unahitaji simu mpya yakhe! na ukinunua simu mpya kabla huja weka pattern tushirikishe ati maneke kwa usahaulifu ako utasahau tena alafu iwe shida ati! tutakutunzia pattern ukisahau tutakukumbusha ati!! ila hiyo ya sasa ishakula kwako...labda peleka mjini wakakupe mijihela wajanja ...sorry lkn napenda kusema ukweli mimi akyananeWakuu habari za muda huu,
Nimesahau pattern ya simu naomben ujuzi naifunguaje simu hii
Rudisha simu ya watu uliyoiba haraka!!
We nomaBonyeza volume + kwa mara moja ukiwa pia umehold switch button then select reboot system
Hakuna njia zaidi ya hard reset ambayo itafuta kila kitu ndani ikiwemo hizo patten,simu nyingi bonyeza power buttom kwa pamoja na volume up itakupa option ambazo zitakuelekeza,cha kufanya ni factory resetWakuu habari za muda huu,
Nimesahau pattern ya simu naomben ujuzi naifunguaje simu hii
Itel zote hasa kuanzia MODEL ZA 1300 Kujaa juu zina SPECIAL HARD RESET ambayoo utapress power button kwanza then after 1sec press vol down or volume up then hold together until it shows COMMANDS on the screen then scroll down to WIPE DATA then click vol up now your itel will perform hard reset then after few seconds you will see at the bottom that WIPE COMPLETED then your ITEL is now UNLOCKEDWakuu habari za muda huu,
Nimesahau pattern ya simu naomben ujuzi naifunguaje simu hii