Msaada: wrong pattern

Kifurukutu

JF-Expert Member
Aug 29, 2013
4,514
6,438
Wakuu habari za muda huu,
Nimesahau pattern ya simu naomben ujuzi naifunguaje simu hii
 
Mkuu ni ya rafki yangu tu
Kama ni ya rafiki yako basi yawezekana kaiba au kanunua kimagendo au kwa mtu tu...sababu ukisahau pattern simu itakuomba email yako...kama sio yake basi hawezi kujua email husika ya mwenye simu

0404
 
Wakuu habari za muda huu,
Nimesahau pattern ya simu naomben ujuzi naifunguaje simu hii
yakhe! hiyo ishakula kwako , hapo unahitaji simu mpya yakhe! na ukinunua simu mpya kabla huja weka pattern tushirikishe ati maneke kwa usahaulifu ako utasahau tena alafu iwe shida ati! tutakutunzia pattern ukisahau tutakukumbusha ati!! ila hiyo ya sasa ishakula kwako...labda peleka mjini wakakupe mijihela wajanja ...sorry lkn napenda kusema ukweli mimi akyanane
 
Search humu au google how to remove partten unataja na model ya simu yako zipo mada nyingi zilisha elekeza hili swala, ila umesema itel mmnh hiyo simu kwenye hard reset huwa zinazingua sana.
 
Wakuu habari za muda huu,
Nimesahau pattern ya simu naomben ujuzi naifunguaje simu hii
Hakuna njia zaidi ya hard reset ambayo itafuta kila kitu ndani ikiwemo hizo patten,simu nyingi bonyeza power buttom kwa pamoja na volume up itakupa option ambazo zitakuelekeza,cha kufanya ni factory reset
 
Wakuu habari za muda huu,
Nimesahau pattern ya simu naomben ujuzi naifunguaje simu hii
Itel zote hasa kuanzia MODEL ZA 1300 Kujaa juu zina SPECIAL HARD RESET ambayoo utapress power button kwanza then after 1sec press vol down or volume up then hold together until it shows COMMANDS on the screen then scroll down to WIPE DATA then click vol up now your itel will perform hard reset then after few seconds you will see at the bottom that WIPE COMPLETED then your ITEL is now UNLOCKED
 
Back
Top Bottom