Kang
JF-Expert Member
- Jun 24, 2008
- 5,495
- 2,252
Tutashare mbinu za kujikwamua na ban humu, kumbuka hii ni cat/ mouse game kwa hiyo sio kila mbinu itafanikiwa kwako.
Fanya backup!
Baadhi ya hizi njia zitapoteza chat msg/ picha etc so kama ni muhimu kwako fanya backup unvayojua wewe kabla ya kujaribu lolote.
Tahadhari na factory reset!
Factory reset inafuta kila kitu kwenye simu.
Pia inaweza kuhitaji gmail Account password, pin au pattern, kuonlock hiyo simu baada kuafanya reset, kama ulinunua simu kusikoeleweka kunaweza kukawa na gmail Account usiyoijua, kuzitoa hizi ni mtihani mwingine kabisa, so kabla ya kufanya reset hakikisha unafanya backup na unajua pin/pattern/password zote.

Humu hatutajadili mbinu za kulazimisha WhatsApp feki, Meta washacharuka kulazimisha feki ni kujitafutia matatizo.