Msaada: Whatsap wamenilog out namba yangu bila kosa

Sean Paul

JF-Expert Member
Jun 16, 2013
807
2,107
Wakuu habari
Leo asubuhi nimekuta notification kwamba namba yangu imewekwa nje ya whatsap (log out)
Nilipoifungua nikakuta ujumbe namba yangu hairuhusiwi kutumia whatsap.
Nashangaa tatizo ni nini?
Sijawahi kutumia versions zingine za whatsap kama GB au Yo.
Kuna watu wamenireport vibaya ama?
Too bad naambiwa review inaweza chukua 24 hours. I am totally confused.
A picture is attached.
Nifanye nini hapa kuweka sawa wataalamu?
Msaada pls.
 
Attachments

  • Screenshot_20231203-091010~2.jpg
    Screenshot_20231203-091010~2.jpg
    27.2 KB · Views: 7
Wakuu habari
Leo asubuhi nimekuta notification kwamba namba yangu imewekwa nje ya whatsap (log out)
Nilipoifungua nikakuta ujumbe namba yangu hairuhusiwi kutumia whatsap.
Nashangaa tatizo ni nini?
Sijawahi kutumia versions zingine za whatsap kama GB au Yo.
Kuna watu wamenireport vibaya ama?
Too bad naambiwa review inaweza chukua 24 hours. I am totally confused.
A picture is attached.
Nifanye nini hapa kuweka sawa wataalamu?
Msaada pls.
Vp mzee wameunban au bado
 
Bila whatsapp maisha hayaendi?😅
Hahaha yanaenda, uzuri natumia account 2 kwa whatsap 1 iliyo kwenye simu yangu. Lakini waliyopiga ban ndio major account....namba ambayo ninayo tangu mwaka 2006 nikiwa shule.
Ni usumbufu tu walisababisha.
 
Back
Top Bottom