Msaada wenu tafadhali......

rebeca

Senior Member
Dec 18, 2011
190
27
niliachana na childhood sweetheart nikaja ughaibuni,baada ya maisha kunishinda nimeamua kurudi bongo,nimemtafuta yule mpenzi wa zamani,bado hajaoa na bado ananipenda....tatizo linakuja huku ughaibuni....'nimetumika' vya kutosha....na nikikumbuka yeye size yake ilikuwa kawaida,nimchomoleee nisije kuaibika???????bado nampenda pamoja na mapungufu mengine
 
Kaazi kweli kweli....so mashine imeenda mileage, sio? Nenda kwa Wachina...nasikia wana dawa za ku restore mashine zilizotumika sana.

hivi kweli wachina wanazo au ni stori tu za mitaani???mwenye experience atujuze na kama kuna dawa specific inayotibu haya maradhi aitaje,ili watu wenye shida kama mimi waisake lol
 
Usihangaike na wachina
ukiniPM ntakusaidia mbinu za kujaribu kufanya.
Nikiweka hapa wakaka watajua miujanja yetu.
 
sometimes its an an art

kama guitar dogo lifanye hall li-accomodate watu wadogo
na kama guitar kubwa allow the hall to expand.
Mjini hapa utapewa hata mkaa na watu wanaingiza siku

sidhani kama kuna dawa ya kunywa.
hivi kweli wachina wanazo au ni stori tu za mitaani???mwenye experience atujuze na kama kuna dawa specific inayotibu haya maradhi aitaje,ili watu wenye shida kama mimi waisake lol
 
niliachana na childhood sweetheart nikaja ughaibuni,baada ya maisha kunishinda nimeamua kurudi bongo,nimemtafuta yule mpenzi wa zamani,bado hajaoa na bado ananipenda....tatizo linakuja huku ughaibuni....'nimetumika' vya kutosha....na nikikumbuka yeye size yake ilikuwa kawaida,nimchomoleee nisije kuaibika???????bado nampenda pamoja na mapungufu mengine
hiyo ni woga wako tu.
kama wewe umetumika vibaya ukiwa huko ulikokuwa. manake kwako kufanya sex na unaempenda siyo tatizo. sasa si ufanye nae sex ( ukizingatia unampenda), atajionea mwenyewe, kama anapwaya si atakuacha, ? au nawe utamsoma ile kuridhishwa kwake. kama hajaridhika ndo unasepa mwenyewe.
 
Kuhusu dawa za Kichina kwa kweli hilo sijui. Ila najua ughaibuni kuna mambo ya vaginal rejuvenation na vaginal tightening.

Cheki mwenyewe uone:

Atlanta Center For Aesthetic Vaginal Surgery | Atlanta Labiaplasty and LVR | LVRAtlanta.com

Cheki hizi before and after pics:

Before and After Photos of Vaginal Rejuvenation | LVRAtlanta.com
 
hiyo ni woga wako tu.
kama wewe umetumika vibaya ukiwa huko ulikokuwa. manake kwako kufanya sex na unaempenda siyo tatizo. sasa si ufanye nae sex ( ukizingatia unampenda), atajionea mwenyewe, kama anapwaya si atakuacha, ? au nawe utamsoma ile kuridhishwa kwake. kama hajaridhika ndo unasepa mwenyewe.
Yah ni vema akutane nae wagonge kidogo then wataamua wao wenyewe ila ukubwa au udogo wa vifanyio sio issue coz kuna namna *nyingi za kukamilishana bila shida.
 
Kaazi kweli kweli....so mashine imeenda mileage, sio? Nenda kwa Wachina...nasikia wana dawa za ku restore mashine zilizotumika sana.

Bro hivi hii "maneno" hufikia wakati nayo ikawa "mali used" ? Au re-condition ? Scraper ? Is't posible !
 
Ikishindikana kabisa basi nitakachokusaidia mie ni kukuunganisha na brother mtaani kwetu nae ni ana Mtulinga wa ukweli.
Madem kibao washatokaga nduki na hurudishiwa pesa zake!
Na hakika huyo mta'match ! Kama nawe hutotoka nduki !
 
wewe labda unahofia nini? kina kitakua kimezidi kama cha mkondo wa NUNGWI? au upana(radius,diameter)?!!
 
hivi kweli wachina wanazo au ni stori tu za mitaani???mwenye experience atujuze na kama kuna dawa specific inayotibu haya maradhi aitaje,ili watu wenye shida kama mimi waisake lol

Usidanganyike na huo mchezo wa kichina, utavaa pampas siku zote za maisha yako!!
 
Mmmh.. Pole sana! Na K isivyokuwa na siri..ikitumika sana inachoka,inatanuka na inazidi kuwa na sura mbayaaa huo ndio ukweli...
Madawa sio mazuri wachina hawa ndio kabisaaa!!...Umerudi bongo kipumzishe sasa,ili irudi katika hali yake japo kidogo..ukianza tena ukakutana na wazee wa mkuyati ndugu yangu,utatengeneza bahari sio bwawa tena...
 
niliachana na childhood sweetheart nikaja ughaibuni,baada ya maisha kunishinda nimeamua kurudi bongo,nimemtafuta yule mpenzi wa zamani,bado hajaoa na bado ananipenda....tatizo linakuja huku ughaibuni....'nimetumika' vya kutosha....na nikikumbuka yeye size yake ilikuwa kawaida,nimchomoleee nisije kuaibika???????bado nampenda pamoja na mapungufu mengine

Unaposema yeye size yake niya kawaida umemaanisha nini?
 
Afu hizo mambo mbona zinarecover fresh tu kwani mbona mtoto anapita na baada ya muda inakuwa kwenye hali yake labda kama uligawa mpaka tigo hapo ndo noma bora umwache kaka wa watu
 
Kama sponji imebwia maji
elasticity sasa big G ina unafuu

Mmmh.. Pole sana! Na K isivyokuwa na siri..ikitumika sana inachoka,inatanuka na inazidi kuwa na sura mbayaaa huo ndio ukweli...
Madawa sio mazuri wachina hawa ndio kabisaaa!!...Umerudi bongo kipumzishe sasa,ili irudi katika hali yake japo kidogo..ukianza tena ukakutana na wazee wa mkuyati ndugu yangu,utatengeneza bahari sio bwawa tena...
 
Usidanganyike na huo mchezo wa kichina, utavaa pampas siku zote za maisha yako!!

Ndiyo umeamka ? Alafu umeamka leo mkali hivyo ? Unavyomtisha Rebeca! Asijaribu kwa wachina, utamfanya arudi alikotoka! Mpeni angaa hope atlist kidogo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom