Msaada wataalamu wa simu za nokia

IrDA

JF-Expert Member
Aug 26, 2010
743
350
Wadau simu yangu aina ya NOKIA 1661-2 imejilock yenyewe.Nikiwasha inaniambia niweke security code,ambayo sijawahi kuweka.Nimejaribu kutumia default code bila mafanikio.Je kuna njia nyingine yoyote ya kutatua tatizo hili bila KUIFLASH?
 
toa line, iwashe weka hzo default codes kama hukuwah kubadlsha. Ikshndkan kaiflash mzee
Asanteni sana wadau kwa ushauri,nimeweza kuiunlock kwa kutumia Mastercode ambayo nimeipata kwenye website flani ambayo inakutaka uweke IMEI,code yenyewe
[h=1]5615661045[/h]
 
Asanteni sana wadau kwa ushauri,nimeweza kuiunlock kwa kutumia Mastercode ambayo nimeipata kwenye website flani ambayo inakutaka uweke IMEI,code yenyewe
[h=1]5615661045[/h]

aisee mkuu ni website gan hiyo aisee maana hapa tupo wengi tunaface the same problemo..
 
Ingia google afu search 4 mastercode generator utapata sites nyingi 2.
Ila kwa cmu za sa hv zinakubal chache,,,nlijarb kpnd flan simu za chini ya mwaka 2007 ndo zinakubal joh.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom