Mwisho wa simu

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Apr 28, 2020
445
754
๐—ง๐—ฒ๐—ธ๐—ป๐—ผ๐—น๐—ถ๐—ท๐—ถ๐—ฎ ๐—ต๐—ถ๐—ถ ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐—”๐—ถ๐˜€๐—ฒ๐—ฒ๐—ฒ!

Umeshawahi kuiona simu ambayo unaweza kutumia bila kuishika ?? Teknolijia inakwenda Kasi sana kuna kitu kinaitwa Humane Ai pin unakijua ?? Niazime dakika moja tu nikuambie jinsi simu za android & iphone zitakwenda kufa.

Inaitwa Humane AI pin ni teknolijia ambayo inatumia mfumo wa projekta unaweza kuivaa kwa kubandika kwenye nguo yako na kufanya Kazi kama vile simu za mkononi smartphone kwa kutumia apps, kupiga simu na kupata msaada wa sauti kupitia mkono au Uso wako.

Imeundwa kwa kutumia akili bandia na mkurugenzi wa zamani wa Apple Mr Imran chaundri na timu yake. Ikiwa na OpenAi Gpt inakupa nguvu ya kufanya au kuuliza chochote kwa njia ya kupiga simu, kutuma message kupitia sauti na mkono.

Chaundri amesema tunaita Pin kwa kuwa ni aina ya kifaa ambacho unakichomeka mahali au unakivaa Wala uhitaji simu au kifaa kingine kukiunganisha.


Nini kilichopo ndani yake
โ€ข unaweza kupokea simu na kuona nani amepiga kupitia mkono wako
โ€ข anatumia akili bandia yenye uwezo wa kujibu maswali yoyote utakayomuuliza

โ€ข anaweza kukupa msaada ikiwa utamuuliza kitu na umekwama mahali labda wapi nitapata mgawaha mzuri kwa ajili ya familia yangu itaweza kukujibu
โ€ข unaweza kutuma Message kwa kumuambia

IMG_20231109_151759_779.jpg


โ€ข anaweza kubadili sauti yako na kuipeleka
lugha yoyote bila mtu mwingine kujua na kuonekana unaongea wewe kwa mfano unaweza kuongea kiswahili ukaonekana unaongea kifaransa, kichina , kimakonde nk.

Unaweza kukiweka kwenye mfuko wa shati mbele au kuninginiza mahali popote unapotaka.

images%20(25).jpg
.


Source #bongotech255
Humanes-Ai-Pin-c-768x614.jpg
 
Duuh! Ote mmbe cany! Hii hamna asee...Yan mwanga utokee kiganjan hii imeenda mbali sasa
 
Bado ufanisi wa hilo ni mgumu.

Concept za haya zimeanza kitambo sana,lakini changamoto inakuja kwamba bado kuna kifaa cha kugenerate hilo tech utatakiwa kukibeba kama simu,ukiangalia Apple mwaka jana wamekuja na miwani yenye tech mfanano wa hiyo japo ziliishakuwepo nyingine.kwanini ikawa miwani??

Sababu tunataka visual reality lakini inayotaka tusikilize mziki,tutizame video,picha na kufanya task nyingine zilizoko ktk simu,hizo nyenzo zote zote hazikai hewani zinataka vifaa.

Ni kweli tech ya simu za mkononi imebakiza miaka kama 5 tu ijifie,ila itachukuliwa na kifaa kingine.
 
Back
Top Bottom