Msaada wakuu

Ruwamangi

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
949
1,683
Habari wadau wa Elimu wa JF

Ni matumaini mko poa baadh yetu tumeona matokeo ya Form four 2023

Ku mtahiniwa binafsi amepata dMoja kati ya masomo yake nauliza anaweza kupata leaving certificate pamoja na cheti cha kuhitimu?
 
Angalau D mbili anaweza kuwa na division 4 ya 33
Angeweza kupata Cheri Cha NECTA
 
Back
Top Bottom