Msaada (upangaji wa division)

Remotex

Member
Oct 3, 2020
60
104
Habari zenu wadau wa Elimu, naomba msaada kuelimishwa/kueleweshwa kuhusu upangaji wa DIVISION baada ya kufanya mitihani ya NECTA O'level (form IV)

Natambua ni lazima ufanye masomo saba ili uweze kupangiwa Daraja (DIVISION.)

Msaada ninaotaka kujua/kuelimishwa, je nilazima ufanye Kiswahili kama core subjects?

Masomo nayotaka kufanyia mtihani kama private candidates ni...

1. Basic Mathematics
2. Physics
3. Biology
4. Geography
5. Civics
6. English
7. History

Aim yangu ni kupata cheti cha form IV ili niweze kuendelea na mambo mengine ya kielimu.

Hayo masomo nlishayasoma nchi nliokuwa naishi so am sure I will score good grades to be qualified... Kiswahili kitanisumbua... je ntaweza kupangiwa DIVISION au lazima nisome Kiswahili? Ahsante
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom