samahani wana jukwaa naombeni kwa ambaye ana zille program za ku unlock modem aniattachie na naomba tena anipe walau hatua za kufuata ila niweze kuunlock modem yangu ili niwe na uhuru zaidi wa kuitumia.NITASHUKURU
yaaaah kama unazo waweza nisaidia
ahsanteni wote ila model yake ni e173 serial nambba nitawapa badae npo mbali nayo.ila mbona join air inanigomea au tatizo linakuwa wapi
ahsanteni wote ila model yake ni e173 serial nambba nitawapa badae npo mbali nayo.ila mbona join air inanigomea au tatizo linakuwa wapi