Msaada wako ni muhimu

jov

Senior Member
Aug 20, 2012
121
9
samahani wana jukwaa naombeni kwa ambaye ana zille program za ku unlock modem aniattachie na naomba tena anipe walau hatua za kufuata ila niweze kuunlock modem yangu ili niwe na uhuru zaidi wa kuitumia.NITASHUKURU
 
Dah kaziii kwelikweli kwahiyo unahitaji program zote za ku unlock mordem
 
yaaaah kama unazo waweza nisaidia

Kama umemwelewa fatma hapo ni kuwa modem zinatofautiana na hata program zake pia hivyo si rahisi wewe kupata kila kitu ila kama unataka kufanyia kwa biashara weka wazi na ikiwa tofauti na hapo weka model ya modem yako hapa
 
ahsanteni wote ila model yake ni e173 serial nambba nitawapa badae npo mbali nayo.ila mbona join air inanigomea au tatizo linakuwa wapi
 
JoinAir ni spesho kwa modem za ZTE. Tafuta software inaitwa Dc-unlocker. Ina unlock modem za aina nyingi. Maelezo ya ku-unlock utayapata humu jaribu kupitia post za nyuma.
 
ahsanteni wote ila model yake ni e173 serial nambba nitawapa badae npo mbali nayo.ila mbona join air inanigomea au tatizo linakuwa wapi

Zipo e173 za aina tatu (tigo, voda na airtel ) yako ni ipi
 
yangu airtel ila asanteeen sana kwa huo msaaada
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom