Msaada Wa Kuunganisha Samsung GT 19000 IPhone kwenye Vodacom Internet

Lord

Member
Feb 13, 2009
91
26
Wanajamvi,

Naomba mwenye utaalam wa kuunganisha Samsung IPhone GT19000 kwenye vodacom internet anielekeze maana nimeshawapigia mara nyingi kila muhudumu na maelekezo yake.

Natanguliza shukrani
 
Andika SMS yenye neno Internet ikifuatiwa na phone model au 8-digit IMEI, kisha tuma kwenda 15300. M

Mf. Internet Samsung GT19000

By the way hiyo simu siyo iPhone in any sense, unless kama umeuziwa ya mChina.
 
Kaka asante sana nimefanikisha. Ubarikiwe
 
Back
Top Bottom