Naomba msaada wenu katika ununuaji wa simu toleo zuri la Samsung ila Series au IPhone

Habari za jioni,

Naomba msaada wenu katika ununuaji wa simu toleo zuri la Samsung ila Series au IPhone(kwenye iPhone iishie 11pro).

Ila ningependa zaidi iwe Samsung iwe nzuri idara zote
Kwa vile hujataja bajet yako basi S23 ultra nunua hiyo ni Samsung
 
Nijue jinsia nikushaur kitu.
Me unatakiwa kuwa na sim ndogo na slim.
Ke huwez kushaur kwa sabab huwa wanataka kila kitu ambacho hawana!
Ke wanapenda sim km screen za 4k hata akiikosa anavalisha cover la sungura!
Sasa kama ni me haumudu iphone 11 pro 256gb kwa average 1m, njoo samsung s10 plain kwa 500k.
Kuhusu chaji ni kweli galaxy inakula sana kulinganisha iphone.
Matoleo ya samsung baada ya s10 ni makubwa. Ya kikolo.
Pia ujue samsung A series ni low class samsung version si high end phone/flagship.
 
Habari za jioni,

Naomba msaada wenu katika ununuaji wa simu toleo zuri la Samsung ila Series au IPhone(kwenye iPhone iishie 11pro).

Ila ningependa zaidi iwe Samsung iwe nzuri idara zote
Isinge weka limit ya kampuni ningekutajia Huawei p30 pro simu moja kali sana zaidi ya maelezo mwanzo nilikuwa na samsung s10 plain 512gb ila hii ni yamoto zaidi
 
  • Thanks
Reactions: PYD
Back
Top Bottom