- Thread starter
- #21
0Una watoto wangapi?
0Una watoto wangapi?
Ok.Ukipata hiyo kazi ifanye Kama kianzio cha kupata mtaji wa kusoma au biashara hiyo kazi haina consistency Kwa mtoto wa kike na kiume .
Sio lazima ucomment kila postFamilia inaenda kupoteza idadi ya watu wenye marinda
Inawezekana ana malengo akutane na mwenye hela amjengee mjengoUkipata hiyo kazi ifanye Kama kianzio cha kupata mtaji wa kusoma au biashara hiyo kazi haina consistency Kwa mtoto wa kike na kiume .
InshaAllahInawezekana ana malengo akutane na mwenye hela amjengee mjengo
Hapo Legrand inabidi awaulize security mida ya yule dada mzungu mchezesha Casino ili aombe kuonana nae na kumpa CV.Hio LEGRAND nimekuja sasahivi
View attachment 2905929
Wewe ni changudoa.Hello.
Mimi ni msichana ninayevutiwa sana na kufanya kazi Casino, sina connection na wala sijawahi fanya kazi hiyo. Naomba mwenye mapenzi mema anasaidie connection. Sipo DSM, ila naweza kufika haraka nikihitajika. Natanguliza shukran
GENDER: F
AGE: 26
MARITAL STATUS: SINGLE
Sawa.Hiyo mission yako tushaijua.
Unataka upate mibwana ya kizungu kwakuwa umesimuliwa matajiri wa Kibongo na wazungu wanakuja na maburungutu ya pesa casino.
Acha tamaa, utauponza
Ok.Wewe ni changudoa.
Hapo unatafuta connection ukadange.
Kwa miaka 26 huyu ashapitia mambo mengi . Ana mtoto mmoja au wawili au kafanya abortion mara kadhaa .Ukipata hiyo kazi ifanye Kama kianzio cha kupata mtaji wa kusoma au biashara hiyo kazi haina consistency Kwa mtoto wa kike na kiume .
utaponza kinyeo hikoMimi mwwnyewe desperate nimeshiwa nauri ya Job hapa sielewa ukinipa nampa namba zote dada siku haishi
Nitafanya hivyoKila La Kheri Mkuu Upatapo Usisahau Mrejesho Tuje Kukusupport Katika Eneo Lako La Kazi.
Sawa, nashukuru.Mambo mengi siku hizi ni online, tuma cv, pamoja na picha ya muonekano wako
Kurudi kijiji gani? Maana sina kijiji nilichotokaKwa miaka 26 huyu ashapitia mambo mengi . Ana mtoto mmoja au wawili au kafanya abortion mara kadhaa .
Akipata huko kwa umri huo hatoki atazeekea huko au mpaka HIV ichanganye mwilini ndipo atarudi kijijini yeye mwenyewe