Rick16
Member
- Jul 2, 2022
- 44
- 181
Casino industry ni industry ambayo watu Weng WA outside wanaichukulia negative Sana...lkn iko tofaut Sana na watu wanavyoichukulia....mm nnfnya kaz casino mwaka WA Saba huu....na mafanikio yng n makubwa..compare to other industries....wife pia yupo humu na sio mm Tu mwnye mke humu...watu wanafnya kaz Baba na bint yake humu....so kama kwl Una Nia ya kufnya kaz na kuendesha miasha karb....n career nzr Sana....JARIBU KUOMBA KAMA DEALER kitengo kizur Sana....Ila kma umehadthiwa casino kuna utajiri WA kudanga🤣🤣 pole hutoamn