Msaada wa kupata kazi kwenye Casino

Hello.
Mimi ni msichana ninayevutiwa sana na kufanya kazi Casino, sina connection na wala sijawahi fanya kazi hiyo. Naomba mwenye mapenzi mema anasaidie connection. Sipo DSM, ila naweza kufika haraka nikihitajika. Natanguliza shukran

GENDER: F
AGE: 26
MARITAL STATUS: SINGLE
Wewe ni changudoa.

Hapo unatafuta connection ukadange.
 
Ukipata hiyo kazi ifanye Kama kianzio cha kupata mtaji wa kusoma au biashara hiyo kazi haina consistency Kwa mtoto wa kike na kiume .
Kwa miaka 26 huyu ashapitia mambo mengi . Ana mtoto mmoja au wawili au kafanya abortion mara kadhaa .
Akipata huko kwa umri huo hatoki atazeekea huko au mpaka HIV ichanganye mwilini ndipo atarudi kijijini yeye mwenyewe
 
Back
Top Bottom