Msaada wa kumpata gynaecologist hapa Dar

MWENDAKULIMA

JF-Expert Member
Jul 17, 2009
952
354
Wakuu habari. Naomba anayefahamu anakopatikana specialist wa matatizo ya wanawake hasa ya uzazi (gynaecologist) anisaidie. Itakuwa vizuri zaidi akiwa hapa Dar. Msaada wenu wakuu wife anataabika! Unaweza kuweka hapa au PM.
 
Marie stopes yupo babu naskia ndio komesha, yupo maria stopes ya mwenge nilimpeleka wife hapo
 
Yupo Daktari wa Muhimbili ambaye akiona tatizo zaidi anakuandikia kinote mnakutana pale Muhimbili, hospitali yake iko karibia na junction ya kwenda Masaki kama unaelekea Mwenge ni upande wa kushoto sikumbuki panaitwaje. Pole sana
 
Back
Top Bottom