Nahitaji kunyonya majitaka shimo limejaa. Nipo Dar

Bujoro

JF-Expert Member
Jan 30, 2018
3,046
2,131
Habari wakuu, moja kwa moja nijielekeza kwenye hoja yangu kama inavojieleza hapo juu nimewie radhi mimi sio mzuri kwenye uandishi, nahitaji mtu kunyonya majitaka shimo limejaa nipo dar mitaa ya kifuru nimechimba hili shimo hata mwaka bado ila limejaa yaani limenisapraizi sana sikutegea liwahi kujaa hivi udongo wa huku ni mfinyanzi hatari, ukiona mwanaume anali ujue kuna jambo.

Wanyonyaji wa majitaka wapo wengi ila mimi nina changamoto ya kifedha nina fedha pungufu kidogo sana hivo naomba mtu ambaye amepata kazi ya kuja kunyonya huku niliko kifuru au kinyerezi au segerea hata mbezi ya kimara au marambamawili ili nimuungie apite na hapa kwangu anisaidie kudhia hii

Anaweza kuja kwangu baada ya kumaliza kazi yake aliyoitiwa au anaweza kuanzia kwangu ni yeye tu na urahisi wake anaouona.. Sio lazima iwe leo hata kesho au kesho kutwa yaani hata ndani ya siku 3 hizi nitavumilia hii hali ya harufu sina namna ni shimo la kawaida sio kubwa sana.

Naomba msaada wenu, Unaweza usiwe wewe lakini una ndugu jamaa na marafiki wanafanya hii kazi ya kunyonya majitaka hivo naomba msaada wako kuniunganisha nao kwa kuwapa contact zangu ili nifanikishe swala hili ni kero sana sema tu sina pesa kwa sasa ivi ningeita tu chapu wakaja. Natanguliza shukrani kwenu wote coz atakaenisaidia simjui.. Kwa maelezo zaidi 0712776823.
 
kuna hawa jamaa 0625705524 na wengine ni 0752412193 hao ni watu wawili (kampuni mbili) tofauti , utaelewana nao mwenyewe
Wengine ni 0784571023 ila hawa walikuwa kitambo sijui kama bado wanafanya vizuri
Tofauti na hao Halmashauri zinakodisha gari kwa bei rafiki
 
Asante sana ndugu yangu kwa kuniunganisha na hawa ngoja niwacheki nione kama kuna mmoja kati yao atapata safari ya huku ili nimuungie anisaidie kama kuna namba za wengine pia nahitaji na inaweza kuwa msaada na watu wengine.
 
Habari wakuu, moja kwa moja nijielekeza kwenye hoja yangu kama inavojieleza hapo juu nimewie radhi mimi sio mzuri kwenye uandishi, nahitaji mtu kunyonya majitaka shimo limejaa nipo dar mitaa ya kifuru nimechimba hili shimo hata mwaka bado ila limejaa yaani limenisapraizi sana sikutegea liwahi kujaa hivi udongo wa huku ni mfinyanzi hatari, ukiona mwanaume anali ujue kuna jambo.

Wanyonyaji wa majitaka wapo wengi ila mimi nina changamoto ya kifedha nina fedha pungufu kidogo sana hivo naomba mtu ambaye amepata kazi ya kuja kunyonya huku niliko kifuru au kinyerezi au segerea hata mbezi ya kimara au marambamawili ili nimuungie apite na hapa kwangu anisaidie kudhia hii

Anaweza kuja kwangu baada ya kumaliza kazi yake aliyoitiwa au anaweza kuanzia kwangu ni yeye tu na urahisi wake anaouona.. Sio lazima iwe leo hata kesho au kesho kutwa yaani hata ndani ya siku 3 hizi nitavumilia hii hali ya harufu sina namna ni shimo la kawaida sio kubwa sana.

Naomba msaada wenu, Unaweza usiwe wewe lakini una ndugu jamaa na marafiki wanafanya hii kazi ya kunyonya majitaka hivo naomba msaada wako kuniunganisha nao kwa kuwapa contact zangu ili nifanikishe swala hili ni kero sana sema tu sina pesa kwa sasa ivi ningeita tu chapu wakaja. Natanguliza shukrani kwenu wote coz atakaenisaidia simjui.. Kwa maelezo zaidi 0712776823.
Bro! Kama salio Lako ni dogo ! Basi nakushauri tafuta wale wajasiriamali wa mtaani, wakutapishie hilo shims KIENYEJI kwa salio pungufu la magari.

Ulizia tu! Kwa vijana kama unaweza pata hao wazee wa kazi utaelekezwa na shida itaondoka.

Miamba huwa inahitaji MAFUTA YA TAA.
 
Wasiliana na namba hizo
93f388c0274b445eb5bd32f39f562487.jpg
 
Hata Dawasa wana hiyo huduma
 
Bro! Kama salio Lako ni dogo ! Basi nakushauri tafuta wale wajasiriamali wa mtaani, wakutapishie hilo shims KIENYEJI kwa salio pungufu la magari.

Ulizia tu! Kwa vijana kama unaweza pata hao wazee wa kazi utaelekezwa na shida itaondoka.

Miamba huwa inahitaji MAFUTA YA TAA.
Nashukur sana mkuu ila nipo jirani na watu si inakuwaga kero sana kwa majirani?
 
Nlijuwa kifuru kuna mfumo wa maji taka kwenye nyumba zenu huko
Kumbe bado mnatumia mashimo ya choo

Ova
 
Inawezekana ukawa upo labda mimi tu ndo cjui wanaofahamu watujuze japo naona hata watu wengi huku wakiwemo majina wanatumia mashimo labda niulize kwa dawasco huenda ukawepo.
 
Bei zao Lita 20,000 kushuka chini ni kiasi gani? Ili wengine wajue pia
Yes angetupa na bei elekezi tusije kupigwa si unajua mabongo tena akishapata kitendo tena serkalini anakupiga hasa kama hawa wengine tu.
 
Bado sjapata huduma jmn naombeni mdaa wenu wa hali na mali.
 
Back
Top Bottom