Msaada wa kuaply TCU

emoshi

Member
Apr 2, 2011
28
1
Jamani wadau naombeni mnisaidie maana kila nikijaza details zangu wakati na-apply tcu mwishoni ninapobofya kwenye register inaniambia " mobile number2 must contain a number' sasa sielewi ni kwanini maana nimejaribu mara nyingi tu, na hili tatizo liko kwangu tu au? Thankx
 
unapo andika No ya simu usianze na 0 wala +255 yaani andika Mfn. 756xxxxxx I HOPE HII ITASAIDIA
 
Back
Top Bottom