Wakuu heshima mbele!mimi ni mtumiaji mzur sana wa MSN messenger kwa kuwasiliana na wadau mbalimbali si unajua tena kupiga simu bongo ni gharama sana!ila kwa sasa imenigomea kabisa niki sign in inanipa hii msg hapa(Window live communications platform has encounted a problem and needs to close.We are sory for Inconvinience)sasa nikijaribu ku un istall program iliyokuwepo ili ni dowload ingine inagoma kutoka na pia sion un istaller!
Wataaluma wa hii fani naombeni msaada wenu.
Wataaluma wa hii fani naombeni msaada wenu.