Msaada wa namna ya ku boot toka kwenye cdrom, computer ni NCS technologies

Bosco Ntaganda

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
710
288
Wadau kuna desktop ya zamani sana, NCS, imefanyiwa installation ya windows xp ikawa ime fail.
Sasa kila nikijaribu ku install upya windows xp inagoma ku boot toka cdrom wala kuonesha boot order.
Huku ni kijijini, hakuna uwezekano wa kupata external dvdrom, msaada tafadhari..
 
Wataalam wa maintenance tafadhalini njooni mtoe msaada, nimetumia keys zote (f1, f2, f6, f8, f9, f10, f11 na f12 )hazi respond!
Sijui kama kuna namna nyingine tena?
 
Back
Top Bottom