Msaada wa jinsi ya kupata Bank Statement

Jul 25, 2018
1
1
Habarini ndugu wadau wa Jamii Forums,

Najitokeza kwenu ili niweze kupata msaada wa kupata bank statement kwa ajili ya kuombea visa ili niende shule USA.

Binafsi nina kiasi cha milioni 40 ambacho nimejihifadhia kwa ajili ya ada na matumizi mengine lakini hiki kiasi bado ni kidogo na nimefikia hatua sijui wapi pa kupata kiasi kilichobaki ili niweze kuomba visa, nahitaji nyongeza ya milioni 45 ili nikamilishe hili jambo.

Nitashukuru wadau kama nitapata muongozo na msaada wa jinsi ya kupata sponsor kwenye hili.

Asanteni sana.
 
nicheki DM
 
Kama kiasi kipo bank, nenda bank husika waombe wakutolee bank statement na wakupe barua ya bank kukutambuwa kwamba wewe ni mteja wao.

Barua inayo address ubalozi wa USA kwamba wewe ni mteja wa bank husika..

Kama hauna ACC fungua ACC halafu weka pesa zako, Fanya transactions za pesa kama mwezi hivi, ingiza pesa bank, toa pesa, baada ya mwezi kaombe bank statement.

Usikubali kupewa bank statement fake mitaani,

Ubalozi unafanya approval na bank husika kama umedanganya,
Itakula kwako.
 
Wewe unatafuta viza kwenda u.s.a na kwenye account yako wanataka wajue una sh ngapi ili usijeukapata shida Kama utakwama
 
Hivi Mbona kuna watu wanachukuliwa tu na wazungu kirahisi
Lakini wengine wanahitajika kuwa na vigezo vingi
Ili kwenda Abroad....Hivi hii inakuwaje kuwaje
Mwenye ufahamu wa Mambo haya Utusaidie plse
 
Kama kiasi kipo bank,,nenda bank husika waombe wakutolee bank statement na wakupe barua ya bank kukutambuwa kwamba wewe Ni mteja wao.

Barua inayo address ubalozi wa USA kwamba wewe ni mteja wa bank husika..

Kama hauna ACC fungua ACC halafu weka pesa zako,,
Fanya transactions za pesa kama mwezi hivi ,,ingiza pesa bank,,toa pesa,baada ya mwezi kaombe bank statement.

Usikubali kupewa bank statement fake mitaani,,

Ubalozi unafanya approval na bank husika kama umedanganya ,,,
Itakula kwako.
Hawafanyi.
 
Hivi Mbona kuna watu wanachukuliwa tu na wazungu kirahisi
Lakini wengine wanahitajika kuwa na vigezo vingi
Ili kwenda Abroad....Hivi hii inakuwaje kuwaje
Mwenye ufahamu wa Mambo haya Utusaidie plse
Wazungu ndio wanaotoa uthibitisho unaotakiwa.

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Wee usimdanganye balozi za USA na Canada wanafanya mzee tena wakigundua amefoji anakula ban ya maisha hatokanyaga tena huko kama makonda
Siyo kweli. Nina jamaa zangu kwa B.S za mchongo na wapo U.S sasa hivi. Tena U.S ndo much easier,
U.S hawaangalii Documents sana wanachoangalia wao ni uwezo wako wa kujieleza na kujibu maswali yao ya interview.
 
Wee usimdanganye balozi za USA na Canada wanafanya mzee tena wakigundua amefoji anakula ban ya maisha hatokanyaga tena huko kama makonda
Wewe hujui kitu kabisa, si ajabu hata hujawahi kuwa na passport na mostly likely hujatoka nje ya Tanzania kwa hii miaka mitano ya karibuni. Mimi nayekwambia hivyo nimejaza passport 15 mpaka sasa, huna cha kunielekeza kwenye maswala ya kupata visa bwana mdogo.
 
It depends na situation ila mostly hawafanyi.
Mkuu balozi gani hawafanyi na watu wanadunda kila siku sababu ya bank statement fake?.

Nishadunda balozi kibao na kigezo bank statement..

Wanapiga simu kwemye bank husika kwa approval.

Labda embassy isiwe na balozi mnoko.
 
Mkuu balozi gn hawafanyi na watu wanadunda kila siku sababu ya bank statement fake?.

Nishadunda balozi kibao na kigezo bank statement..

Wanapiga simu kwemye bank husika kwa approval.
Labda embassy isiwe na balozi mnoko.
Wewe kinachokukwamisha ni aina ya visa unayoomba. Halafu point of correction, ukidakwa na bank statement ya uongo, you will never get visa, unawekwa kwenye fraud list ambayo kwa database ya sasa, inafuta records zako after 10 years. Uliza wenzako wanafanyaje, siri ipo hapo. Ila kwa sasa most of embassies hawafanyi, it depends na ni nadra sana, lazima kuwe na kitu tu.
 
Back
Top Bottom