Naomba msaada jinsi ya Kupata control number NHIF mtandaoni kwa ajili ya malipo

Kwa ushauri tuu,hilo unalotaka kulifanya bora ungelihairisha kwa kipindi hiki maana utakuwa unafanya kazi bure na utajitesa bure kwa kufuatilia na mawazo ya hela yako. Hii taasisi kwa kifupi ishafilisika,kuna watu wamelipia bima zao as private huu mwezi ni mwezi wa 7 hawajapata kadi zao kila wakifuatilia kadi wanaambiwa machine/mitambo mibovu,pia kuna ile Toto Afya ambayo ilihamishiwa mashuleni huu ni mwezi wa sita shule zimelipia Wanafunzi wao malipo hadi leo hii hawajapata kadi zao na walisema kabisa kadi za Toto Afya kupitia mashule ukishalipia tuu hazizidi mwezi mmoja ushapata kadi.
 
Back
Top Bottom