Papizo
JF-Expert Member
- Feb 24, 2008
- 4,944
- 1,431
- Thread starter
- #21
alitegemea atatamkiwa neno ndoa, huyu binti nadhani alitegemea future na x wake kwa bahati mbaya akatendwa, anacheza kwa step sasa hv.
Kabisa hiyo kitu nakubali ni kweli ila ndoa bila kufahamiana?Lazima mjuane yaani nioe bila kumjua yupo vipi hivi kweli inawezekana?Lakini pia ni mawazo mazuri sasa inachobidi nijaribu kumuweka karibu tena..ila ndio naanza moja!