Msaada wa huyu mwenzangu please!!

alitegemea atatamkiwa neno ndoa, huyu binti nadhani alitegemea future na x wake kwa bahati mbaya akatendwa, anacheza kwa step sasa hv.


Kabisa hiyo kitu nakubali ni kweli ila ndoa bila kufahamiana?Lazima mjuane yaani nioe bila kumjua yupo vipi hivi kweli inawezekana?Lakini pia ni mawazo mazuri sasa inachobidi nijaribu kumuweka karibu tena..ila ndio naanza moja!
 
Dawa ya kuuchuna ni kumpotezea, tafuta kinanda hapo maeneo mnapoishi kula nacho good time kwa full kujiachia, kama ana nia nawe atajileta mwenyewe na kama hakupendi basi ataingia mitini moja kwa moja!

Thanks mkubwa nimekupata vizuri sana,ila mkuu ushauri wako nadhani utakuwa next step bila shaka maana mtu akiuchuna alafu wewe unajaribu kuwa nae karibu nia hasa ni nini?Nadhani nimekuelewa vizuri mkuu asante sana
 
Totoz za bongo hazina hizo, kwani huku kuna nini kaka? Mateso yote ya nini? Come home chukua jiko anza mbele ! Ughaibuni tuahangaikia dolari , euoro na paundi sio totoz!
 
Bwana mdogo huyo demu atakuumiza kichwa mpaka ushindwe kufanya vitu vya maana.

- Hapa inaonesha huyu demu alikuwa anakuelewa vingine na jinsi alivyokuja kukujua vizuri. Hiyo imemtoa hamu kabisa ya kuwa na wewe. Alikuwa anakuona na alikuwa anakutamani lakini jinsi ulivyo si vile yeye anavyotaka rafiki yake wa kiume awe na hayo amekuja kuyajua baada ya kuwa karibu na wewe kwa muda mfupi.

Kwa ushauri wangu achana naye. Alikuja kwako mwenyewe na kaondoka mwenyewe, kwanini upate shida?. Kumpenda isiwe shida, vumilia na utasahau na bila shaka atatokea mwenye kukupenda kama ulivyo.
 
Gonjwa la moyo hilo kama hana mtindio wa ubongo (step down immediately) tena mshukuru Mungu you never know!
 
Mimi nafikiri umeenda speed kuuubwa sana.....mademu wengi hawana shida katika kutoa tunda ili mradi pawe na maridhiano(hahaha!....wananchi msinimeze)!.

Chukua kama step mbili,tatu nyuma halafu msikilizie.Nachojua mimi kadiri attention kwake inavyokata ndo na yeye ataona anakuhitaji.Tatizo la wanawake bwana ikifika wakati kama huo ukiendelea kumpa attention yote hiyo anakuona huko so desparate na atakuchezea chezea.

Wewe take your time.....endelea kutafuta demu karatasi yaani mahela.Kama ulikuwa unatuma text moja kwa wiki hivi au mbili.....tena katika hizo text unaandika HI! and that's it.

Kama tayari ulishamtaka radhi nafikiri ni nafasi yake kukuangalia wakati anajaribu kurudisha moyo wake.I know it will work...yaani shaka ondoa.Ukiendelea kumsumbua na texts na calls nyingi ndo unaharibu kila kitu.

Halafu usikane kama ulikuwa unataka tunda yaani hapo ndo unapokosea.Yaani inabidi yeye mwenyewe kama mwanamke aje kukuambia kuwa hataki mambo sasa wewe unajikatalia utamu haraka haraka hivyo....vijana bwana???
 
Demu ana misi huyo (kama pajero ya xpin)..........tambaa, tulia ukirudi bongo utawakuta wa ukweli
 
Mwanaume na kuongezeka Umri.
Mwanaume anavyozidi kuongezeka umri huhitaji direct stimulation ya stick yake kuwa tayari kwa ajili ya sex kuliko kuitikia kwa kuona kama kawaida ya wanaume.

Hata hivyo kitendo hiki kuimarisha tendo zima la ndoa kati ya wanandoa kwani mke na mume wanavyozidi kuongezeka umri sasa wote huhitaji kuchezeana viungo vyao ili kuwa aroused na tayari kwa kupeana zawadi yao ya tendo la ndoa.


VIPI AGE YAKO NA YAKE KAKA....YAWEZEKAANA ALIKUPA SHUGULI IKAWA PEVU
 
....... alianza kunibadilikia simu akawa hapigi tena,messeg hatumi tena na mawasiliano kapunguza kabisa ila sikujua zaidi problem ni nini mpaka baada ya kusikia kwa rafiki yangu ndio nikajua..Pia nilivyomuona yupo vile nilimuuliza whats wrong lakini akasema ohh hamna kitu.Sasa mimi nikamuomba msamaha kwa sababu kwanza nampenda na ametulia sana nikawambia kwamba nipo tayari kuwa na wewe bila hicho kitendo ila naona mwenzangu bado kama hahitaji mawasiliano na mimi na hata nikimtumia messeg hata 15 kwa siku basi atajibu 2 au 1 na ukiangalia hapo anasimu ya contract sasa wadau mnanishauri vipi??Niachie ngazi pamoja nitaumia au nimshaurije mwenzangu aweze kurudi katika hali ya kawaida kama zamani?Maana najaribu kuwa karibu nae sana tena sana lakini naona mwenzangu hana interest...Sasa wadau mnanishauri nifanye nini??

N.B nahitaji ushauri please sio utani ndugu zangu!

Ndugu yangu, love comes naturally, sex, lust and all other ingredients follow the same path

Tutazunguka wee lakini in short huyo dada has no plans for you; wapo wengi hukataa kidodoma lakini huendelea na mahusiano na utaona they really care and in many cases they are even more possessive. At least basi angekuwa anawasiliana na wewe

Achana nae mazee, time is too short to waste on those who dont care!!
 
Looove stiiinks,

Mimi siwezi kukushauri ki lovey dovey kwa sababu si mtaalamu. UIla ma true player for real huwa wana equations zao..

Been in this game for years, it made me an animal,
There's rules to this game, I made me a manual

Notorious B.I.G (Ten Crack Commandments)

Let
a= time it will take to hit this nookie
b= time it will take to hit other potential nookies
c= opportunity cost of staying with this nookie and missing other nookies
d=desire to settle down (should a player be nearing the end of the game)

Then,
Let
a= time it will take to hit this nookie
b= time it will take to hit other potential nookies
c= opportunity cost of staying with this nookie and missing other nookies
d=desire to settle down with this nookie (should a player be nearing the end of the game)


Under ceteris paribus

If a > b and d < 50% then definitely jump ship and pursue other nookies
If a > b and d > 50% then prepare for a lenghty challenge that may offer a potentially rewarding matrimony
If b > a and d < 50% then hang on and you will soon hit this nookie player
If b > a and d > 50% then hang on and sacrifice even more you will soon hit this nookie and hang up the gloves
 
looove stiiinks,

mimi siwezi kukushauri ki lovey dovey kwa sababu si mtaalamu. Uila ma true player for real huwa wana equations zao..

Been in this game for years, it made me an animal,
there's rules to this game, i made me a manual

notorious b.i.g (ten crack commandments)

let
a= time it will take to hit this nookie
b= time it will take to hit other potential nookies
c= opportunity cost of staying with this nookie and missing other nookies
d=desire to settle down (should a player be nearing the end of the game)

then,
let
a= time it will take to hit this nookie
b= time it will take to hit other potential nookies
c= opportunity cost of staying with this nookie and missing other nookies
d=desire to settle down with this nookie (should a player be nearing the end of the game)


under ceteris paribus

if a > b and d < 50% then definitely jump ship and pursue other nookies
if a > b and d > 50% then prepare for a lenghty challenge that may offer a potentially rewarding matrimony
if b > a and d < 50% then hang on and you will soon hit this nookie player
if b > a and d > 50% then hang on and sacrifice even more you will soon hit this nookie and hang up the gloves


mtu yeyote anayemuelewa biggie
hatapata shida sana na wanawake au marafiki.
Bluray u made my day....
Kila nikisiliza ready to die,na life after death...
I fell nakuwa uplifted...
R.ip. Biggie small.
 
habari jamani...nadhani hapa nitapata majibu mazuri na ya maana kuhusu hili swala.....problem ni kwamba hapa nilipo nina demu wa kigambia ambaye nilikutana nae hapa ninapoishi,kukutana tulikokutana ni kwamba sio mimi nilimtongoza bali yeye alikuwa na interest na mimi toka mda mrefu sana ila alikuwa anashindwa kuniambia saa zingine tukikutana face to face huwa ananichekea na kuniuliza maswali tofauti ila nilikuwa sijajua zaidi sasa ikafikia kipindi akamuuliza rafiki yangu kuhusu mimi tabia yangu na nipoje....sasa siku nipo break baada ya kazi akanikuta nimekaa mahali akaanza kuniuliza wapi nimetokea i mean nchi gani vitu kama hivyo....mimi sikumchelewesha pale pale kwa sababu nilishajua nini anataka nikaweka mambo sawa usiku wa hiyo siku nikawasiliana nae kwenye simu nikaongea nae sana na tukafahamiana zaidi na mapenzi yetu yakaanza hapo,sasa kitu ambacho nashindwa kuelewa ni kwamba amebadilika ghafla na tulikuwa tunakwenda out tunafurahi pamoja lakini sasa hivi hataki tena nikimuomba tuonane analeta mambo mengi bora tusionane ...na alivyokuwa na problem mimi nilikuwa mwepesi sana kumsaidia pamoja alikuwa haniombi hela pia yeye bado yupo university na anafanya kazi part-time.sasa katika mazungumzo yangu nimewahi kumgusia kama mara 3 kuhusu mambo fulani nadhani hapo mmeelewa vizuri....sasa sikujua kabisa yeye huwa hapendi hayo mambo na nikajiuliza je mapenzi ni nini?nikashangaa sana sasa akaja kumwambia rafiki yangu kwamba eti mapenzi sio pesa wakati huwa namsaidia muda mwingine hata hela ya bus pass ya kwendea shule au kununulia bidhaa ndogo ndogo huwa anakosa inabidi nitoe nimpe,pia yeye anasema kwamba hatopenda kufanya hicho kitendo kutokana na ex-bf wake alivyomfanya maana alimkamua then akaingia mitini so hatoamini tena wanaume,ila hicho kitendo hajakataa kufanya atafanya lakini mpaka atakapo niona msimamo wangu upo vipi, alianza kunibadilikia simu akawa hapigi tena,messeg hatumi tena na mawasiliano kapunguza kabisa ila sikujua zaidi problem ni nini mpaka baada ya kusikia kwa rafiki yangu ndio nikajua..pia nilivyomuona yupo vile nilimuuliza whats wrong lakini akasema ohh hamna kitu.sasa mimi nikamuomba msamaha kwa sababu kwanza nampenda na ametulia sana nikawambia kwamba nipo tayari kuwa na wewe bila hicho kitendo ila naona mwenzangu bado kama hahitaji mawasiliano na mimi na hata nikimtumia messeg hata 15 kwa siku basi atajibu 2 au 1 na ukiangalia hapo anasimu ya contract sasa wadau mnanishauri vipi??niachie ngazi pamoja nitaumia au nimshaurije mwenzangu aweze kurudi katika hali ya kawaida kama zamani?maana najaribu kuwa karibu nae sana tena sana lakini naona mwenzangu hana interest...sasa wadau mnanishauri nifanye nini??

N.b nahitaji ushauri please sio utani ndugu zangu!


ushauri sahihi ni huu..
Umekuwa too nice kwake na hivyo..
Umeua kabisa atraction aliyokuwa nayo kabla..
Cha kufanya kuwa bize na ikiwezekana tafuta
mrembo mwingine na ujifanye umemsahau...
Kwa ufupi jifanye aghali kwake,
play the game.
 
Habari jamani...Nadhani hapa nitapata majibu mazuri na ya maana kuhusu hili swala.....Problem ni kwamba hapa nilipo nina demu wa kigambia ambaye nilikutana nae hapa ninapoishi,kukutana tulikokutana ni kwamba sio mimi nilimtongoza bali yeye alikuwa na interest na mimi toka mda mrefu sana ila alikuwa anashindwa kuniambia saa zingine tukikutana face to face huwa ananichekea na kuniuliza maswali tofauti ila nilikuwa sijajua zaidi sasa ikafikia kipindi akamuuliza rafiki yangu kuhusu mimi tabia yangu na nipoje....sasa siku nipo break baada ya kazi akanikuta nimekaa mahali akaanza kuniuliza wapi nimetokea I mean nchi gani vitu kama hivyo....Mimi sikumchelewesha pale pale kwa sababu nilishajua nini anataka nikaweka mambo sawa usiku wa hiyo siku nikawasiliana nae kwenye simu nikaongea nae sana na tukafahamiana zaidi na mapenzi yetu yakaanza hapo,Sasa kitu ambacho nashindwa kuelewa ni kwamba amebadilika ghafla na tulikuwa tunakwenda out tunafurahi pamoja lakini sasa hivi hataki tena nikimuomba tuonane analeta mambo mengi bora tusionane ...Na alivyokuwa na problem mimi nilikuwa mwepesi sana kumsaidia pamoja alikuwa haniombi hela pia yeye bado yupo university na anafanya kazi part-time.Sasa katika mazungumzo yangu nimewahi kumgusia kama mara 3 kuhusu mambo fulani nadhani hapo mmeelewa vizuri....Sasa sikujua kabisa yeye huwa hapendi hayo mambo na nikajiuliza je mapenzi ni nini?Nikashangaa sana sasa akaja kumwambia rafiki yangu kwamba eti mapenzi sio pesa wakati huwa namsaidia muda mwingine hata hela ya bus pass ya kwendea shule au kununulia bidhaa ndogo ndogo huwa anakosa inabidi nitoe nimpe,pia yeye anasema kwamba hatopenda kufanya hicho kitendo kutokana na ex-bf wake alivyomfanya maana alimkamua then akaingia mitini so hatoamini tena wanaume,ila hicho kitendo hajakataa kufanya atafanya lakini mpaka atakapo niona msimamo wangu upo vipi, alianza kunibadilikia simu akawa hapigi tena,messeg hatumi tena na mawasiliano kapunguza kabisa ila sikujua zaidi problem ni nini mpaka baada ya kusikia kwa rafiki yangu ndio nikajua..Pia nilivyomuona yupo vile nilimuuliza whats wrong lakini akasema ohh hamna kitu.Sasa mimi nikamuomba msamaha kwa sababu kwanza nampenda na ametulia sana nikawambia kwamba nipo tayari kuwa na wewe bila hicho kitendo ila naona mwenzangu bado kama hahitaji mawasiliano na mimi na hata nikimtumia messeg hata 15 kwa siku basi atajibu 2 au 1 na ukiangalia hapo anasimu ya contract sasa wadau mnanishauri vipi??Niachie ngazi pamoja nitaumia au nimshaurije mwenzangu aweze kurudi katika hali ya kawaida kama zamani?Maana najaribu kuwa karibu nae sana tena sana lakini naona mwenzangu hana interest...Sasa wadau mnanishauri nifanye nini??

N.B nahitaji ushauri please sio utani ndugu zangu!
wewe huwajui wa west?hapo anakuweka sawa akutengeneze chapa mwendo kabla ya hatari,yani wewe unakula mtego halafu unazubaa?shauri yako hamna penzi hapo ooh!
mi huwa nawashangaa sana wanaoumia vichwa na madem waafrika huku mamtoni,babu kama rangi madem weusi wako wengi,ingawa vicheche kupoozea si tatizo,ila kama ulikua unatafuta mke sawa lakini hata hapo kwa mgambia no,yaani karata unacheza vibaya kabisa nakuonea huruma ACHANA NAYE HUYO
 
Totoz za bongo hazina hizo, kwani huku kuna nini kaka? Mateso yote ya nini? Come home chukua jiko anza mbele ! Ughaibuni tuahangaikia dolari , euoro na paundi sio totoz!


Point takeni kaka na nimekupata hapo wala hamna shaka mkuu nitafanyia kazi maana naona kama nasumbuka bila mafanikio thanks mkubwa!
 
Bwana mdogo huyo demu atakuumiza kichwa mpaka ushindwe kufanya vitu vya maana.

- Hapa inaonesha huyu demu alikuwa anakuelewa vingine na jinsi alivyokuja kukujua vizuri. Hiyo imemtoa hamu kabisa ya kuwa na wewe. Alikuwa anakuona na alikuwa anakutamani lakini jinsi ulivyo si vile yeye anavyotaka rafiki yake wa kiume awe na hayo amekuja kuyajua baada ya kuwa karibu na wewe kwa muda mfupi.

Kwa ushauri wangu achana naye. Alikuja kwako mwenyewe na kaondoka mwenyewe, kwanini upate shida?. Kumpenda isiwe shida, vumilia na utasahau na bila shaka atatokea mwenye kukupenda kama ulivyo.

Thanks mkubwa kwa ushauri wako wa maana..Unajuwa nime mnote kwamba anataka tuishi tu sasa sielewi mapenzi ni ya aina gani hayo....ila nashukuru sana mkubwa....nitaachia ngazi maana siwezi kukaa nalazimisha..Thanks kaka na amani kwako!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom