Msaada wa huyu mwenzangu please!!

Mimi nafikiri umeenda speed kuuubwa sana.....mademu wengi hawana shida katika kutoa tunda ili mradi pawe na maridhiano(hahaha!....wananchi msinimeze)!.

Chukua kama step mbili,tatu nyuma halafu msikilizie.Nachojua mimi kadiri attention kwake inavyokata ndo na yeye ataona anakuhitaji.Tatizo la wanawake bwana ikifika wakati kama huo ukiendelea kumpa attention yote hiyo anakuona huko so desparate na atakuchezea chezea.

Wewe take your time.....endelea kutafuta demu karatasi yaani mahela.Kama ulikuwa unatuma text moja kwa wiki hivi au mbili.....tena katika hizo text unaandika HI! and that's it.

Kama tayari ulishamtaka radhi nafikiri ni nafasi yake kukuangalia wakati anajaribu kurudisha moyo wake.I know it will work...yaani shaka ondoa.Ukiendelea kumsumbua na texts na calls nyingi ndo unaharibu kila kitu.

Halafu usikane kama ulikuwa unataka tunda yaani hapo ndo unapokosea.Yaani inabidi yeye mwenyewe kama mwanamke aje kukuambia kuwa hataki mambo sasa wewe unajikatalia utamu haraka haraka hivyo....vijana bwana???


Mkubwa nadhani hapa kuna point ambazo nipo nazifanya mpaka sasa..Ni kweli kabisa huwa namtumia messeg nyingi sana na simu huwa nampigia sana,ila nashukuru sana mkubwa kwa mawazo yako na nimekuelewa vizuri sana mkubwa nadhani huo ushauri nitaufanya kuanzia kesho na nadhani mambo yatakuwa sawa tu....Pia kuhusu tunda niliona yeye ameshatokwa na hiyo kitu na hapendelei kabisa ndio maana mimi nikamuwahi kumtaka radhi au sio mkubwa,ila nimekuelewa kaka na nashukuru sana nadhani huo ushauri utawork vizuri sana!
 
Mmhh! Hilo nalo neno. Nadhani ndugu Papizo unaweza kulifanyia kazi. Ni kwasababu anajua anachokifanya!! Habahatishi.



Thanks mkubwa nadhani ameona kwamba nampenda sana ndio maana ananichezea akili...Mapenzi sio mchezo kwa kweli!!
 
Demu ana misi huyo (kama pajero ya xpin)..........tambaa, tulia ukirudi bongo utawakuta wa ukweli


Thanks mkubwa ushauri wako pia mzuri..Ni kweli bongo kuna mademu waliotulia sana.....ila pia nitafikiria kuhusu hilo swala kaka
 
Mwanaume na kuongezeka Umri.
Mwanaume anavyozidi kuongezeka umri huhitaji direct stimulation ya stick yake kuwa tayari kwa ajili ya sex kuliko kuitikia kwa kuona kama kawaida ya wanaume.

Hata hivyo kitendo hiki kuimarisha tendo zima la ndoa kati ya wanandoa kwani mke na mume wanavyozidi kuongezeka umri sasa wote huhitaji kuchezeana viungo vyao ili kuwa aroused na tayari kwa kupeana zawadi yao ya tendo la ndoa.


VIPI AGE YAKO NA YAKE KAKA....YAWEZEKAANA ALIKUPA SHUGULI IKAWA PEVU


Thanks Mama mia...Kwa kweli hatujafikia kufanya hicho kitendo sema mimi ndio nilimgusia toka hiyo siku nikamuona kanibadilikia kabisa,So nikashangaa zaidi angekuwa amenipa ningesema kwamba nilichemka game ila hajanipa bado,
 
Ndugu yangu, love comes naturally, sex, lust and all other ingredients follow the same path

Tutazunguka wee lakini in short huyo dada has no plans for you; wapo wengi hukataa kidodoma lakini huendelea na mahusiano na utaona they really care and in many cases they are even more possessive. At least basi angekuwa anawasiliana na wewe

Achana nae mazee, time is too short to waste on those who dont care!!


Thanks mkubwa nadhani mawazo mazuri nimeshapata hapa na nategemea kila wazo kati ya yote niliyopata yamenisaidia sana..Asante sana mkubwa na mimi nitafanya hivyo maana naona ameona nampenda sana na namjali sana ndio maana ananichezea akila ila nashukuru mkubwa wazo lako zuri
 
Looove stiiinks,

Mimi siwezi kukushauri ki lovey dovey kwa sababu si mtaalamu. UIla ma true player for real huwa wana equations zao..

Been in this game for years, it made me an animal,
There's rules to this game, I made me a manual

Notorious B.I.G (Ten Crack Commandments)

Let
a= time it will take to hit this nookie
b= time it will take to hit other potential nookies
c= opportunity cost of staying with this nookie and missing other nookies
d=desire to settle down (should a player be nearing the end of the game)

Then,
Let
a= time it will take to hit this nookie
b= time it will take to hit other potential nookies
c= opportunity cost of staying with this nookie and missing other nookies
d=desire to settle down with this nookie (should a player be nearing the end of the game)


Under ceteris paribus

If a > b and d < 50% then definitely jump ship and pursue other nookies
If a > b and d > 50% then prepare for a lenghty challenge that may offer a potentially rewarding matrimony
If b > a and d < 50% then hang on and you will soon hit this nookie player
If b > a and d > 50% then hang on and sacrifice even more you will soon hit this nookie and hang up the gloves


Thanks mtaalam mwenyewe nimekupata vizuri kaka.Nadhani nitaupitia kwa makini na utanisaidia pia!!
 
ushauri sahihi ni huu..
Umekuwa too nice kwake na hivyo..
Umeua kabisa atraction aliyokuwa nayo kabla..
Cha kufanya kuwa bize na ikiwezekana tafuta
mrembo mwingine na ujifanye umemsahau...
Kwa ufupi jifanye aghali kwake,
play the game.


Thanks mkubwa ujumbe nimeupata,Nadhani hiyo ndio next step ni kweli nimemfanyia mambo mengi ya kumjali na kumuonyesha kiasi nampenda lakini ndio anafanya hivyo sasa hivi,nadhani ameniona kwamba siwezi kubadilika hata kidogo.Thanks mkubwa majibu yatakujia kitakachokuwa wala usijali kaka!
 
wewe huwajui wa west?hapo anakuweka sawa akutengeneze chapa mwendo kabla ya hatari,yani wewe unakula mtego halafu unazubaa?shauri yako hamna penzi hapo ooh!
mi huwa nawashangaa sana wanaoumia vichwa na madem waafrika huku mamtoni,babu kama rangi madem weusi wako wengi,ingawa vicheche kupoozea si tatizo,ila kama ulikua unatafuta mke sawa lakini hata hapo kwa mgambia no,yaani karata unacheza vibaya kabisa nakuonea huruma ACHANA NAYE HUYO


Thanks mkubwa ujumbe nimeupata vizuri sana na nimekuelewa mkubwa,Duu kaka kama mke wa kuoa nitaenda kumtafuta bongo nataka nione kutoka kwenye ncho yangu sio wagambia wala nchi yoyote ile,Mkubwa nadhani umeshawa note hawa mademu wa huku,ila aminia mkubwa ushauri wako nimeuelewa vizuri sana na nashukuru sana!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom