Msaada wa haraka wadau wa MMU, Hali ni mbaya sana!!

Pole Ndugu

Nenda pale Scouts HeadQuarters, Upanga karibu na Diamond Jubilee kuna daktari bingwa wa moyo, DR HERI MWANDOLELA. Ni PM nikupe namba zake

I hope utasaidika
 
Pole mkuu. Kama hujapata msaada bado, agha khan napaamini sana kwa emergency. Hakuna dili wala kujuana, ukifika nenda straight casuality, dr hata kama yupo harusini atakuja na keki mkononi.
All the best, tatizo sio la kutisha akipata dawa sahihi hutakumbuka tena hii shida.
 

...dahhh, pole sana kamanda...poleni sana.
Nipo nawe katika maombi...
 
Nawashukuru sana wadau wote kwa michango yenu, ila nimempata leo Dr ambaye atanipeleka Muhimbili na Mama Asubuhi kumuona specialist wa case yake, na nimefalijika baada ya huyu Dr kumpiga sindano Mama ya kumuondolea maumivimu angalau kwa leo mpaka tutapokwenda kesho muhimbili kwa ajili ya vipimo sahihi.
Asanteni sana.
 
pole sana kwa kuuguliwa,

nakushauri kutokana na mgomo uliopo, nenda pale Muhimbili Fast Track waulize manesi watakupatia jina na namba ya daktari unayemtaka. Mara nyingi mm huwa naenda pale kupata taarifa za aina yako

Pili nenda MOI wataalamu wa mifupa kwenye private clinic , watakusaidia kupata daktari wa mifupa

Mungu akusaidie
 
Kule kwenye Jukwaa la MR labda wangejitokeza kukupa msaada ,Pole sana
MR ndio jukwaa lipi hilo!!??
Maspecialist wote wa Muhimbili leo wana kikao na Mkurugenzi Mkuu, nimeona bora kwanza apate msaada wa haraka, nimempeleka Dar Group na amelazwa bado anachukuliwa vipimo zaidi.
 
Back
Top Bottom