Wakuu naombeni msaada wa wapi ninaweza kununua au kupata cd za ubuntu version kuanzia 10.10 na kuendelea mpaka version ya mwisho
Mkuu ipo hivi kwa kifupi.
Ingia ubuntu.com utaona sehemu ya kudownload for free.
Chagua os unayotumia kama ni windows au nyingine.
Chagua kama ni 32bit au 64.
nakushauri udownload file kwa kusave kwenye kwenye computer yako.file laweza kuwa 700mb
Then uburn kwenye cd.kumbuka kwenye kuburn chagua kuburn kama disc image.
Kila la kheri
OTIS
Ubuntu ni nini na una faida gani?