msaada wa cd za ubuntu last version

mpushi

JF-Expert Member
Nov 14, 2011
280
76
Wakuu naombeni msaada wa wapi ninaweza kununua au kupata cd za ubuntu version kuanzia 10.10 na kuendelea mpaka version ya mwisho
 
Jamani, ubuntu ni open source,ni bure kabisa...kuuza ni dhambi! Braza hapo juu,download bure kabisa online then tengeneza cd zako wala sio ngumu,kama hufahamu ingia utube ucheki tutorials za jinsi ya kutengeneza ukishindwa nistue,siko bongo ila ningekutengenezea bure,na wala usikubali kuuziwa...by the way kuna 11.10 sasa na nimeinstall juzi tu.
 
Mkuu ipo hivi kwa kifupi.
Ingia ubuntu.com utaona sehemu ya kudownload for free.
Chagua os unayotumia kama ni windows au nyingine.
Chagua kama ni 32bit au 64.
nakushauri udownload file kwa kusave kwenye kwenye computer yako.file laweza kuwa 700mb
Then uburn kwenye cd.kumbuka kwenye kuburn chagua kuburn kama disc image.
Kila la kheri
OTIS
 
Asanteni wakuu kwa ushauri wenu nimefanikiwa kudownload.
Shukrani.
 
Nina ultimate edition 3.0....inakuja na softwares zaidi ya 50 ikiwamo skype, operamini, picasa, gparted, google chrome, google earth and many more.....unaweza kuidownload for free..ina 3.2GB
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom