Msaada wa 4G bands

tumlack

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
675
49
Naomba kujua band za 4G za mitandao hii apa hapa kwetu.

1.Vodacom

2.Tigo

3.Ttcl

4.Smile

5.Smart
 
tigo na smile ni 800mhz
voda na ttcl ni 1800mhz
-smart ni 2300mhz
Pamoja mkuu,pia kuna possibility ya simu kutokua labda na band 800 lakin ikapga kaz 4g ya tigo? Kuna mtu ana G2 ya Tmobile haina frequency za tigo ila 4G inapga kaz
 
hao T-mobile usiwaamini, 3g inaandika 4g, kujua kama sio 4g download app ya speedtest halafu pima speed utaona ni speed ya 3g.

wamarekani hspa+, H+ wanaita 4g sababu kipindi ulaya na Asia wana 4G mitandao yao ilikuwa bado haina 4g hivyo ili kuwabrainwash wateja wakaamuru makampuni ya simu yatakayoleta simu kwenye mitandao yao 3g waiite 4g.

hata sasa hivi kuna figisu figisu wanasema wana 5g wao (wakati hata standard hazijaekwa) hivyo usishangae mwakani ukaona simu ya T-mobile kwenye 4g ikaandika 5G
 
Jamaa ni wahuni kiasi hicho
Poa mkuu nitachek speedtest
 
Maeneo gani? Simu yangu haina 800mhz ina 1800 na line yangu ni ya 4g ila sijawahi pata 4g yao
Kuanzia maeneo ya shule ya uhuru mpaka mitaa ya Samora na posta...bi hivi karibuni wameanza sidhani kama maeneo mengine wameshaanza kurusha kwa masafa hayo
 
Nna sprint LG G3 (ls990), nimeiflash na custom rom nougat 7.1.1 based on Lineage os. Nikiweka line za 4G hazisomi internet. Ata sielewi nifanye nini. Mwenye idea what to do please msaada
 
Kuna kuaga na zile code za ku activate band zote..jaribu kusaka
 
Back
Top Bottom